Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Tunaojua Moira
Cr7 anachukua EURO, lakin kazi kubwa ilifanywa na watu wengi
Ata fainal cr7 alikuwa majerui wanaume wapo uwanjani wanakichafua

Messi sitaki kumzungumzia

.Asante.

Fainal CR7 alikua majeruhi!!!?

Sema alitolewa nje baada ya kupata majeruhi bwana tim mess bwanaa😂😂😂😂

Kelele nyingi na huyo ndujeru wenu utadhani kashinda kombe la dunia.

Messi hana Maajabu. Ni wa kawaida sanaa.

Total football ya Barcelona ndiyo iliyombeba sanaa.

Achana kabisa na fighter asiyeogopa msitu CR7. Mzee wa popote kambi.
Yule ni balaa jingine kabisa
 
Wanasema Ronaldo anashikilia rekodi ya dunia kuwa na magoli mengi kwa timu ya taifa, wakati kule Ulaya kuna vitimu kama San Marino, Malta, Scotland, Northern Ireland, havijiwezi kila siku vinafungwa 6-0, 7-0,

Kama Messi angekuwa Ulaya angekuwa na magoli 2000 akiwa na timu ya taifa.

Goli5 alizofunga CR7 Euro hizo timu ulizoziandika zilikuwepo!!?
 
Kwanza kubeba hilo kombe huko Amerika ya Kusini ni kama kumsukuma mlevi, Euro ndio kila kitu bingwa wa dunia toka 2006 ametokea Europe , huko Amerika ya kusini imebaki tu heshima ya watu wa kale...povu ruksa🧼🏃‍♂️🤣
 
Messi na CR7 wote ni watu wa maajabu, can you imagine mtu unaamua kuacha shughuli zako ili tu uwatazame hawa jamaa ikiwa ni siku ya mechi timu zao zinacheza...

Mpenda mpira yoyote anapaswa awaheshimu hawa jamaa, personally nilimshuhudia Messi akiwa Olympics za China enzi hiyo akiwa bado kinda, yule mtu kabarikiwa mguu wa kushoto...

Jamaa wameufanya mpira uonekane ni burudani kuutazama kila wawapo uwanjani, sema ni hivi sasa tu umri unawatupa mkono...
 
Haya Sasa Messi huyooo kabeba kombe akiwa na timu ya taifa

Mlikua mnamuona Messi si lolote na wala si chochote kwa C.Ronaldo,kwasababu C.Ronaldo alishinda EURO mkawa mnamponda Messi kwakua hajashinda taji lolote akiwa na timu yake ya Taifa

Najua mtataka Messi afanye Kama Ronaldo kuhama Hama ligi [emoji23] huu ni upuuzi nawaambieni hivi MESSI hahitaji kuhamia ligi yoyote ile ili athibitishe uwezo wake.

Sasa sisi team Messi tunawadai ninyi team Ronaldo Balon'Dor ya 6 na tunataka mchezaji wenu aipeleke timu yake ya taifa fainali tu za kombe la dunia.

Daadeki zenu nyinyi.

View attachment 1849190
Bro mbona unajaa upepo hivoo, messi kupata kikombe hicho ni chachu tu maana kiukweli ni jambo lilikua linamkera sana CR7 alifanya hivo 5 yrs ago! bado kikombe hiko hakimfanyi mess kuwa zaidi ya mwenziwe kumbuka hawa ni wachezaji wawili tofauti kila mmoja ana ubora usiofanana wala kufikiwa na mwenziwe.
 
Bro mbona unajaa upepo hivoo, messi kupata kikombe hicho ni chachu tu maana kiukweli ni jambo lilikua linamkera sana CR7 alifanya hivo 5 yrs ago! bado kikombe hiko hakimfanyi mess kuwa zaidi ya mwenziwe kumbuka hawa ni wachezaji wawili tofauti kila mmoja ana ubora usiofanana wala kufikiwa na mwenziwe.
Mkuu toka Ronaldo achukue Euro Basi mashabiki wake wakaanza kumbeza Messi kwakua hajachukua kombe lolote lile akiwa na timu yake ya Taifa na kusema Messi Ni mtoto tu kwa Ronaldo
 
Mimi sitakagi kuumiza kichwa sijui mchezaji Gani Ni zaidi ya Nani ..hiyo Kazi nishawaachia watu wa Ballon d'Or[emoji123]
Kwani wewe huangalii mpira,huwezi kumtambua Nani ni Bora kuliko mwenzake?
 
Kwanza kubeba hilo kombe huko Amerika ya Kusini ni kama kumsukuma mlevi, Euro ndio kila kitu bingwa wa dunia toka 2006 ametokea Europe , huko Amerika ya kusini imebaki tu heshima ya watu wa kale...povu ruksa[emoji3475][emoji2089][emoji1787]
Wivu tu [emoji2]
 
Messi win Copa America against Ecuador, Peru, Colombia, Chile and non of them can compete with euro 2020 teams
Kwani Fainali kafungwa Nani? [emoji23][emoji23] Mbona unajitoa ufahamu
 
Fainal CR7 alikua majeruhi!!!?

Sema alitolewa nje baada ya kupata majeruhi bwana tim mess bwanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kelele nyingi na huyo ndujeru wenu utadhani kashinda kombe la dunia.

Messi hana Maajabu. Ni wa kawaida sanaa.

Total football ya Barcelona ndiyo iliyombeba sanaa.

Achana kabisa na fighter asiyeogopa msitu CR7. Mzee wa popote kambi.
Yule ni balaa jingine kabisa
Popote kambi ?

Man u

Real Madrid

Juventus

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Team Ronaldo mna tabu Sana

Mpaka Sasa Messi ndo mchezesha timu wa Barcelona bila Messi huwezi kuona hiyo total football Kama huamini angalia takwimu za Messi kila msimu unapoisha pale Barcelona
 
Back
Top Bottom