Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Messi kombe la dunia kafika fainal Ronaldo hatofika ata nusu Hadi anakufa


Na Mess ataendelea kua Mwana wa Israel hadi mwisho.

Ataendelea kufika final ila hatachukua chochote😂😂😂😂
 
Nachojua mmoja ana asssist,anasaidia build up,anafunga,anapiga free kick,ana play make Na kupiga key passes mwingine anasubiria awekewe Pasi tamu apachike kamguu au kichwa Lowe goli
Mzee wa tap in [emoji2][emoji2]
 


Messi kaipeleka Argentina final, na amecheza dakika zote 95

Wakati Ronaldo hata first time hajamaliza, na akageuka kuwa mwalimu 🤣🤣🤣 sifa hizi
 
Watu na team zenu bhana! Hizi chambuzi utafikiri ni mchezo wa tennis, kwamba anacheza mtu mmoja. Mtu mmoja akiwa bora kama hajazungukwa na teammates wazuri hawezi kufanya maajabu yoyote.

Halafu hao Messi na Ronaldo wanaheshimiana sana tu ila waswahili mnataka kuuana huku, badala mjiite wapuuzi eti wao ndo mnawaita wapuuzi[emoji16]

Mimi hao jamaa navutiwa na uwezo wao wote, walileta amshaamsha kwenye soka ambayo sasa imepungua sana. Naamini Ronaldo ni fundi, na Messi pia ni fundi.

Huo mpira wa kulazimisha ukiambiwa wewe uulazimishe, kama kipaji huna hata ushinde na ukeshe ukilazimisha hata kocha wa timu ya kitongoji hatokuona[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Champions League Messi anaichukua next season akiwa na Aguero pale Barcelona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa naona umechagua chama mapema kabisa hata msimu haujakaribia kuanza. Sasa naomba awamu hii usihamehame kama ulivyohama kutoka PSG to Madrid to Man City kwa hasira dhidi ya Chelsea!

Halafu sio baadaye mkeka wako uchanike uanze kulialia kocha kauza mechi kama ulivyomlaani Guardiola kamuuzia TT mechi ya fainali.

Tutakufuatilia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…