Kwamba wamecheza mechi moja ya fainali tu?Naona Mnamzungumzia Messi Wakati DiMaria ndo Kaipa Ubingwa Argentina.
Mbona kombe la dunia 2014, aliingia fainali pamoja hawakuchukua ila Messi akawa mchezaji bora wa mashindano.Ureno ana kombe la Euro tangu 2016,ambapo Argentina akija kushiriki Euro competition anaishia kwenye makundi hata 16 bora hafiki
2014 fainali alicheza wakina nani?Hizo timu za South za America tukifika world cup wote huwa wanaishia kwenye makundi, hawana chochote cha maana
Mkuu!!! Debate imefungwa rasmi Leo na Mfalme wa soka hapa Duniani, Messi10. Team CR7 waandike maamivu ktk maisha Yao yote.Haya Sasa Messi huyooo kabeba kombe akiwa na timu ya taifa
Mlikua mnamuona Messi si lolote na wala si chochote kwa C.Ronaldo,kwasababu C.Ronaldo alishinda EURO mkawa mnamponda Messi kwakua hajashinda taji lolote akiwa na timu yake ya Taifa
Najua mtataka Messi afanye Kama Ronaldo kuhama Hama ligi [emoji23] huu ni upuuzi nawaambieni hivi MESSI hahitaji kuhamia ligi yoyote ile ili athibitishe uwezo wake.
Sasa sisi team Messi tunawadai ninyi team Ronaldo Balon'Dor ya 6 na tunataka mchezaji wenu aipeleke timu yake ya taifa fainali tu za kombe la dunia.
Daadeki zenu nyinyi.
View attachment 1849190
Siyo lazima tushinde Mzee lakini kama imeandikwa wewe ni nani hata uzuie aisee.... Mlisha kariri kwamba Messi10 hawezi chochote akiwa na timu ya Taifa.Kwakuwa nyinyi mlishabeba World Cup siyo?
Hii picha inakata ngebe zote!!! DaaadekMessi mchumba tu
Hahahaha ndiyo vijisababu vyenu vilivyobakia ili mradi mwendelee kubanabana pua zenuu 2...Messi bila barcelona ya Xavi na Iniesta ni Di maria aliechangamka.
watamkana kwa kubanabana pua zao... Lakini mioyo Yao itawaambia kimya kimya kuwa Mfalme wa soka ni mmoja tu naye si mwingine Leonel Messi10....Watching someone saying Messi isn't better inachekesha...
Fainali za Copa America Mara 4..
Kombe la Dunia Mara Moja
Na bado anakwenda kuongeza ballon Dor ya 7....
Definition of a pure player..
Hahahaha mmepatikana this time... Wewe mwite majina yote lakini ndiyo hivo Dunia imeshatambua kuwa Mfalme wa kweli ni Messi10...Fainal CR7 alikua majeruhi!!!?
Sema alitolewa nje baada ya kupata majeruhi bwana tim mess bwanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kelele nyingi na huyo ndujeru wenu utadhani kashinda kombe la dunia.
Messi hana Maajabu. Ni wa kawaida sanaa.
Total football ya Barcelona ndiyo iliyombeba sanaa.
Achana kabisa na fighter asiyeogopa msitu CR7. Mzee wa popote kambi.
Yule ni balaa jingine kabisa
Waaambie mkuu,LM ni kiumbe mwngine achana na huyo anaetafuta likes Insta ka SepengaKwakweli huyu jamaa nilikuwa namuombea abebe hii kitu,maana mashabiki wa yule mpuuzi mwenye mpira wa kulazimisha walikuwa wanamnanga Messi kwa kutobeba kombe akiwa na Argentina.
Halafu jamaa kajitahidi sana kuliko huyo Penaldo.Kaifikisha timu fainali 3,ikiwemo ya World Cup (sijui ni lini Ronaldo atavaa medali ya mshindi wa 2 wa WC ?). Kwenye Copa America iliyoisha leo Messi ama kafunga au katoa assist kwenye kila ushindi iliopata Argentina. Yule 'Mr.Misifa' anayaweza haya?
Kambi ya penati😂😂Fainal CR7 alikua majeruhi!!!?
Sema alitolewa nje baada ya kupata majeruhi bwana tim mess bwanaa😂😂😂😂
Kelele nyingi na huyo ndujeru wenu utadhani kashinda kombe la dunia.
Messi hana Maajabu. Ni wa kawaida sanaa.
Total football ya Barcelona ndiyo iliyombeba sanaa.
Achana kabisa na fighter asiyeogopa msitu CR7. Mzee wa popote kambi.
Yule ni balaa jingine kabisa
Na usimsahau Messi ndo top scorer na mchezaji Bora wa mashindanoTeam Messi msisahau goal la ushindi alifunga Di Maria
Ki messi kilikua kinaruka ruka tu uwanjani
Google ya Buza hii hivi wewe Kati ya Messi na Ronaldo Nani anaichezesha timu yake?