Mashabiki wa Ronaldo njooni huku

Sawa sasa ahame ligi akachukue kombe huko. Ronaldo ana kila kombe ligi mbali mbali

Ballon aiseee labda mbebwe mbeleko at its best. Messi hastahili ballon kuna wachezaji ligi mbali mbali huko wanastahili ballon
Ronaldo ahamie Norwich city alafu tuone kama watabeba kombe
 
Aanze Messi kwanza kisha tumshauri Ronaldo maana Epl keshakipiga zamaaniii
Namaanisha Ronaldo anahamia timu ambazo hata asipokuwepo zinafanya vizuri tu

Yaani sasa hivi unataka Messi aende timu gani labda?
 
Kama kweli vile. Je tangu CR7 aondoke hizo timu unazosema zinafanya makubwa je zina makubwa yapi kuzidi alipokuepo?

Yoyote hata kubwa kama mnavyomfananisha na Ronaldo ila bado CR 7 kamzidi pakubwa

Alivyoondoka man u 2009 Man u Haikuendelea kuchukua makombe?

Na toka ahamie juve...juve wamefanya maajabu gani amabayo hayakufanyika kipindi hayupo?
 
Mie shabiki wa man u ila mkuu mbona unauliza swali badala ya jibu nitajie basi hayo makombe ya timu yangu pendwa.

Anyway huu mjadala tutaendelea siku Messi akihamia timu nyingine akabeba kombe huku akiwa top scorer pia

Mkuu nimeshakujibu ambacho hujaelewa nini Sasa hapo?

Usiombe Messi akahamia EPL atamvua nguo Ronaldo vibaya mno alafu mtasema kipindi kile Ronaldo alikua mdogo [emoji23][emoji23]
 
Sijaelewa makombe makubwa ya Man u nayatamani hasa UCL hivi tulinyanyua mara ngapi alipoondoka CR7.

Nasubiria hizo nguo atakazovuliwa. Tena bahati nzuri man city walikua wanamfatilia kulingana na tetesi za soka.

Kumbe UEFA? Sasa unataka Messi ahamie ligi nyingine wakati UEFA anacheza akiwa pale pale Barcelona [emoji2]

Kipindi man u anachakaa mbele ya Barca Ronaldo alikuwepo mle

Nimegundua wewe ni Man U ndo Mana unamtetea Ronaldo
 
Hee ina maana hujasoma vizuri comments zangu mbili huko juu nikisema mie ni shabiki wa Man u

Hebu mkuu rudia mara mbili mbili ulichoandika hapo kipindi man u anachakaa mbele ya barca eti Ronaldo alikuepo daah una ushabiki mpaka wenzio wanakushangaa unaandika vitu usivyovijua.

Hata Man city si atacheza hio Uefa au anaogopa lawama?
Kumbe UEFA? Sasa unataka Messi ahamie ligi nyingine wakati UEFA anacheza akiwa pale pale Barcelona [emoji2]

Kipindi man u anachakaa mbele ya Barca Ronaldo alikuwepo mle

Nimegundua wewe ni Man U ndo Mana unamtetea Ronaldo
 
Wewe ndo urudie nilichoandika naamini utanielewa vizuri

Akihamia City mtasema anazingukwa na kina De bruyne [emoji2][emoji2] [emoji119]
 
Mkuu nimegundua hujui kitu.

Leo hii Messi unamlinganisha na se bruyne?

Wewe ndo hujui kitu mkuu

nimemlinganisha wapi MESSI NA De Bruyne?

nini ambacho hujaelewa hapo? Kama Barcelona mlikua mnasema kazungukwa na kina Xavi mtashindwaje kusema anazungukwa na kina De bruyne akihamia City?
 
Endelea kubisha Barca alishinda 2-0

Messi
Etoo
 
Wewe wasema kumbe mnaogopa watu wanaomzunguka daah
Wewe ndo hujui kitu mkuu

nimemlinganisha wapi MESSI NA De Bruyne?

nini ambacho hujaelewa hapo? Kama Barcelona mlikua mnasema kazungukwa na kina Xavi mtashindwaje kusema anazungukwa na kina De bruyne akihamia City?
Huoni hapo mshambuliaji kiongozi alikua etoo. Bado handsome henry kapozi hapo bonge la vipaji
Endelea kubisha Barca alishinda 2-0

Messi
EtooView attachment 1851459
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…