- Thread starter
- #121
Ronaldo ahamie Norwich city alafu tuone kama watabeba kombeSawa sasa ahame ligi akachukue kombe huko. Ronaldo ana kila kombe ligi mbali mbali
Ballon aiseee labda mbebwe mbeleko at its best. Messi hastahili ballon kuna wachezaji ligi mbali mbali huko wanastahili ballon