kilimo kwz
Member
- Jan 18, 2022
- 26
- 48
Hii ni makolo wizard bila uchawi wake..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PhD kutoka George Town University! Akija atatusumbua mpaka basi!Boss yuko USA 🇺🇸anachukua PhD
Hahahaha wanasema next level kumbe kina MAGORI wananunua waamuziWakuu,
Kiwango cha Simba kinazidi kuporomoka mno. Mbaya zaidi ni kama wanachama na mashabiki tumekubaliana na hii hali. Tunapaswa kuhoji viongozi wetu, huu ni muda wa uwajibikaji.
1) Kwanini Chama hachezi? Wanaficha nini?
2) Issue ya Morrison ni dhahiri imekaa kihuni hatuambiwi ukweli
3) Kwanini tumejaza professionals ambao hawatumiki?
4) Kwanini morali ya timu ipo chini sana?
Ni muhimu tuamke tudai mabadiliko sasa bila kujali msimu upo hatua gani. Timu inacheza ovyo mfululizo na hakuna hatua za msingi kuleta mabadiliko. Tumewapa Yanga ubingwa kijinga!
Viongozi wetu hawafanyi kazi bila pressure, tumevumilia inatosha! Tujue hatma ya timu sasa!
Alafu eti makolo fc ni miongoni mwa club tajiri AfricaPhD kutoka George Town University! Akija atatusumbua mpaka basi!
Maana mpaka leo unaweza ukakuta anawaamini kweli The Forbes! Eti ni tajiri namba 1 Tanzania! Halafu eti ni tajiri namba 13 Afrika! 😁😁
Who once works with Head coach zinadine zidaneFormer coach of Real Mardid
Wadau wa Simba wanasemaje kuhusu hili ?Hata game ya Yanga kwa mara ya kwanza tutaenda kinyonge! Viongozi wetu bila pressure tunaenda kuweka aibu nyingine next week.
Simba wanamtaka ibengeShida ni Pablo,
Si ungeandika tu kiswahili ofsa?Who once works with Head coach zinadine zidane
Haizuii kwamba yanga ni bingwa..😂Si ungeandika tu kiswahili ofsa?
Sasa kwasababu tupo ligi moja na nyie ndio maana mnatuona kama wenzenu?Alafu eti makolo fc ni miongoni mwa club tajiri Africa
Kwenye dabi ya kariakoo anayeonekana dhaifu huwa ndio anashinda.Wadau wa Simba wanasemaje kuhusu hili ?
Scars njaakalihatari Championship Ghazwat CHAMASON-MORISON-SAKHOSON Mtoto halali na hela OKW BOBAN SUNZU
NAWATAFUNA
Tumejipanga vyema hiyo jumamosi, afe kipa afe beki ushindi muhimu tena mapema tuWadau wa Simba wanasemaje kuhusu hili ?
Scars njaakalihatari Championship Ghazwat CHAMASON-MORISON-SAKHOSON Mtoto halali na hela OKW BOBAN SUNZU
NAWATAFUNA
Nyie sie wenzetu kabisa,mna kocha mmdrada tutaweza wapi sieSasa kwasababu tupo ligi moja na nyie ndio maana mnatuona kama wenzenu?
RIP Komred HanspopeTimu kushuka ni mambo ya kawaida. Usajili haukuwa mzuri msimu huu.