Mashabiki wa Simba bila pressure aibu zaidi inakuja

Mashabiki wa Simba bila pressure aibu zaidi inakuja

Wakuu,

Kiwango cha Simba kinazidi kuporomoka mno. Mbaya zaidi ni kama wanachama na mashabiki tumekubaliana na hii hali. Tunapaswa kuhoji viongozi wetu, huu ni muda wa uwajibikaji.

1) Kwanini Chama hachezi? Wanaficha nini?
2) Issue ya Morrison ni dhahiri imekaa kihuni hatuambiwi ukweli
3) Kwanini tumejaza professionals ambao hawatumiki?
4) Kwanini morali ya timu ipo chini sana?

Ni muhimu tuamke tudai mabadiliko sasa bila kujali msimu upo hatua gani. Timu inacheza ovyo mfululizo na hakuna hatua za msingi kuleta mabadiliko. Tumewapa Yanga ubingwa kijinga!

Viongozi wetu hawafanyi kazi bila pressure, tumevumilia inatosha! Tujue hatma ya timu sasa!
Hahahaha wanasema next level kumbe kina MAGORI wananunua waamuzi
 
Uzi wa wana Simba naona umejaa watu wa Yanga Afrika ......
 
Sasa kwasababu tupo ligi moja na nyie ndio maana mnatuona kama wenzenu?
Nyie sie wenzetu kabisa,mna kocha mmdrada tutaweza wapi sie

20220521_002908.jpg
 
Back
Top Bottom