Mo mo nini?mshabiki hujawekeza kwenye timu hata mia unakaa unapoteza muda na kubwabwaja mara simba,mara YangaView attachment 2809097
Mashabiki wa Simba wanalalamika kuwa hata tajiri wa Simba Mo anaishi kiujanja ujanja. Inaonekana hata fedha ya usajili wa wachezaji hatoi kwa kiasi kinachotajwa.
Mo aliwahi kusema kuwa alitoa bilioni 3 za usajili wa wachezaji. Ni muda muafaka sasa atoke hadharani amtaje liyemkabidhi hizo bilioni 3.
Kumfukuza Mangungu peke yake lkn tajiri mbabaifu Mo kuendelea kubakia hawezi kutatua tatizo
Hata hivyo nawalaumu mashabiki wa Simba kichelewa kugundua huu ujanja ujanja wa Mo.
Kigwangala alipohoji juu ya uwekezaji wa Mo mwaka juzi mashabiki hawa hawa walimuandama sana Kigwangala na kumlinda Mo. Leo kiko wapi?
Ohooo! Naona mada imevamiwa na mswaga ng'ombe. Amekuja mjini kwa Lori la ng'ombe.Mo mo nini?mshabiki hujawekeza kwenye timu hata mia unakaa unapoteza muda na kubwabwaja mara simba,mara Yanga
Kafanyeni kazi,acheni uzwazwa
Kwa kumfukuza kocha ndiyo wameharibu kila aina ya mipango ya msimu huu.La msingi sahiv simba watulie tu maana wapo kipindi cha mpito
Yaani acha tu.... kwasababu wanaropoka tu ooh mara hatumtaki huyu mara yule n.k Yaani Mo aachie ngazi watayumba hapa onhooKwa kumfukuza kocha ndiyo wameharibu kila aina ya mipango ya msimu huu.
Wameleta paniki, mvurugano na mashaka kwa kila mwanasimba na wachezaji .
Hata mipango na mikakati ya club bingwa haitatimia
Ukiwa kama shabiki, huna hela, na hata ukizipata unakwenda kuhonga mademu, then unakuja kuanzisha thread kama hii, unataka kupambana na mwenye hela ilhali huna hela wewe ni shabiki mvizia supu za vibudu jangwani π πMashabiki wa Simba wanalalamika kuwa hata tajiri wa Simba Mo anaishi kiujanja ujanja.
Daah! Wewe utakuwa chawa wa MoUkiwa kama shabiki, huna hela, na hata ukizipata unakwenda kuhonga mademu, then unakuja kuanzisha thread kama hii, unataka kupambana na mwenye hela ilhali huna hela wewe ni shabiki mvizia supu za vibudu jangwani π π
Tafuteni hela muwe na team zenu
Waache watajifunza kupitia makosa yaoKwa kumfukuza kocha ndiyo wameharibu kila aina ya mipango ya msimu huu.
Wameleta paniki, mvurugano na mashaka kwa kila mwanasimba na wachezaji .
Hata mipango na mikakati ya club bingwa haitatimia
Wewe uliekuja na ndege una nini cha ziada.Ohooo! Naona mada imevamiwa na mswaga ng'ombe. Amekuja mjini kwa Lori la ng'ombe.
Tatizo lako huelewi sifa na tabia za mashabiki na ndio maana mashabiki (makapuku, wasio na uhakika wa kula kila siku) wameandaliwa supu ya kibudu jpili pale kariakoo.Daah! Wewe utakuwa chawa wa Mo
Mpito wa kwenda wapi ?La msingi sahiv simba watulie tu maana wapo kipindi cha mpito
Mkuranga kwa Mbasha muuza mbuziMpito wa kwenda wapi ?