Mashabiki wa Simba: Hata Mo hatumtaki. Alimpa nani hela (bil. 3) ya usajili?

Mashabiki wa Simba: Hata Mo hatumtaki. Alimpa nani hela (bil. 3) ya usajili?

Tatizo simba ni kubwa kuliko mnavyofikiria , Tatizoo sio Mo , tatizo ni Fursa anazozuia Mo kupitia katiba ya sasa kwa kulindwa na Mangungu,( 51%) sasa kuna kundi litakaa ile ( 51 % ) iwe na nguvu kwa kubadili uongozi ,then wabadili baadhi ya vipengele

Sasa Mo na Mangungu ndio wanaonekana ni vikwazo kifupi hilo kundi ni baadhi ya wale kamati ya ushauri
 
Mo mara anatangaza kuachia ngazi kukaa pembeni na akiwa huko pembeni anamteua Tryagain tena daah huyo Mangungu sijui kama anajua kitu mpira wa miguu naona yupo pale kwa ajili ya kumlinda Mo tuu...
 
Nilishawahi kusema Simba siyo club ya mpira, ni genge la wahuni
 
Back
Top Bottom