Tatizo simba ni kubwa kuliko mnavyofikiria , Tatizoo sio Mo , tatizo ni Fursa anazozuia Mo kupitia katiba ya sasa kwa kulindwa na Mangungu,( 51%) sasa kuna kundi litakaa ile ( 51 % ) iwe na nguvu kwa kubadili uongozi ,then wabadili baadhi ya vipengele
Sasa Mo na Mangungu ndio wanaonekana ni vikwazo kifupi hilo kundi ni baadhi ya wale kamati ya ushauri