Bora kushabikia yanga na simba kuliko kumshabikia yesu,mara utataka ukahubiri injili kwa mataifa bila passport,mara ununue chupi yenye upako kuponya ugumbaUkishabikia sana Simba na Yanga lazima ziruke kichwani.
Yani akili zinahama kabisa, unaanza kuwa mjinga mbumbumbu na Mpumbavu.
SawaPunguza spidi tybing errors kibao kwani unakimbilia wapi
HeeeBora kushabikia yanga na simba kuliko kumshabikia yesu,mara utataka ukahubiri injili kwa mataifa bila passport,mara ununue chupi yenye upako kuponya ugumba
Sahara ndo nini we ChuraTofauti na wakati wowote, tangu siku walipotangaza kutopeleka timu uwanjani, mashabiki wa Simba wamekuwa down kidogo, zile tambo na mbwembwe zimepungua na hata wakijadili jambo hili wanajikita kwenye maneno ya wachambuzi. Bila kujali uhalali wa timu yao kususia mchezo, wanaonekana kufeel unyonge mbele ya wenzao.
Nadhani wakati ujao watakuwa wa kwanza kupingana na viongozi wao ikitokea maamuzi kama haya au yanayofanana na haya
ProbablyHawana uhakika na misimamo yao labda.
Bora kushabikia yanga na simba kuliko kumshabikia yesu,mara utataka ukahubiri injili kwa mataifa bila passport,mara ununue chupi yenye upako kuponya ugumba
Trump na netanyahu wanatajwa kuliko yesu hata kwaresma hiiHongrra sana Mkuu.
Ila Dunia Hii bila Kuwa na Yesu naona kama umechelewa sana.
Anyway si mahali pake.
Yesu anahubiriwa Ulimwengu mzima ndie Mtu mashuhuri na Maarufu anaetajwa na Dunia nzima.
Alifanya kazi kwa Miaka Mi 3 tu.
Mpaka wasemeeeTofauti na wakati wowote, tangu siku walipotangaza kutopeleka timu uwanjani, mashabiki wa Simba wamekuwa down kidogo, zile tambo na mbwembwe zimepungua na hata wakijadili jambo hili wanajikita kwenye maneno ya wachambuzi. Bila kujali uhalali wa timu yao kususia mchezo, wanaonekana kufeel unyonge mbele ya wenzao.
Nadhani wakati ujao watakuwa wa kwanza kupingana na viongozi wao ikitokea maamuzi kama haya au yanayofanana na haya
SawaSahara ndo nini we Chura
HakikaUsifikiri mtu akiwa mbumbumbu ndio asifahamu jambo dogo tena la wazi la kikanuni zilizo andikwa kiswahili.
Yaani japo wachambuzi wa buku kumi kumi wanajaribu kupindisha ila kwa ili imeshindikana.
Mbumbumbu fc wengi wanajua wana bebwa wazi na Bodi ya ligi.
Imewauma lakini hawana namna wana mlia timing Mangungu.
Trump na netanyahu wanatajwa kuliko yesu hata kwaresma hii
Kwahiyo mnataka warukeruke kwa furaha na watu ambao Manara alishasema nguo zao za ndani zimejaa vinyesi na wananuka vinyesi?Tofauti na wakati wowote, tangu siku walipotangaza kutopeleka timu uwanjani, mashabiki wa Simba wamekuwa down kidogo, zile tambo na mbwembwe zimepungua na hata wakijadili jambo hili wanajikita kwenye maneno ya wachambuzi. Bila kujali uhalali wa timu yao kususia mchezo, wanaonekana kufeel unyonge mbele ya wenzao.
Nadhani wakati ujao watakuwa wa kwanza kupingana na viongozi wao ikitokea maamuzi kama haya au yanayofanana na haya