- Thread starter
- #21
We acha tuUnakuwaje na furaha na timu yako haiongozi Ligi na bado unaweza kupokwa point. 😀 Viongozi wa 5imba walikurupuka sana
We acha tuUnakuwaje na furaha na timu yako haiongozi Ligi na bado unaweza kupokwa point. 😀 Viongozi wa 5imba walikurupuka sana
Sasa umekimbia mspambano utaongea niniTofauti na wakati wowote, tangu siku walipotangaza kutopeleka timu uwanjani, mashabiki wa Simba wamekuwa down kidogo, zile tambo na mbwembwe zimepungua na hata wakijadili jambo hili wanajikita kwenye maneno ya wachambuzi. Bila kujali uhalali wa timu yao kususia mchezo, wanaonekana kufeel unyonge mbele ya wenzao.
Nadhani wakati ujao watakuwa wa kwanza kupingana na viongozi wao ikitokea maamuzi kama haya au yanayofanana na haya