Mashabiki wa Simba Kigoma wavamia kambi na kugoma kuondoka hadi wamuone Debra Fernandez Mavambo

Aseee na nyie mkakubali mana, unaaminije kua huyu ni shabiki wa Simba kwa jezi tu, haya ngja TUONE kesho ata perform.
 
Kama hali ni hiyo basi Mangungu bado yupo sana madarakani
Hoja ya kipumbavu, hata utopolo wanaweza kuja uwanja wa mazoezi na kutak kumuona mchezaj wanayempenda , ni jambo la kawaida hata ulaya iko hio, ukiwa shabiki maandaz lazima una element za kiufukara.
 
Ni Deborah, sio Debra
Hoja ya kipumbavu, hata utopolo wanaweza kuja uwanja wa mazoezi na kutak kumuona mchezaj wanayempenda , ni jambo la kawaida hata ulaya iko hio, ukiwa shabiki maandaz lazima una element za kiufukara.
 
Mitano tena kwa Ngungus Boy
Hoja ya kipumbavu, hata utopolo wanaweza kuja uwanja wa mazoezi na kutak kumuona mchezaj wanayempenda , ni jambo la kawaida hata ulaya iko hio, ukiwa shabiki maandaz lazima una element za kiufukara.
 
yaani we acha tu ataendelea kuwepo hadi milele hivi unajua hata dube mpumalelo a.k.a gari la mkaa ambaye mechi 8 mfululizo hajafunga goli hata la offside anaweza kutemwa akamuacha mangungu?
Umbumbumbu uliotukuka kumfananisha kiongozi na mchezaji. Dube ana kadi namba ngapi ya Yanga?
 
yaani we acha tu ataendelea kuwepo hadi milele hivi unajua hata dube mpumalelo a.k.a gari la mkaa ambaye mechi 8 mfululizo hajafunga goli hata la offside anaweza kutemwa akamuacha mangungu?
Waliachwa wakina Ngasa wenye vinasaba vya Yanga ndio itakuwa mshangao kwa Dube.
 
Mchezaji ana nyota ya hatari huyoo...wale wa utopopo...walitaka wamdhihaki kwa jina lake ila jamaa amewaonyesha yy ni wa kiumeni...
Wachezaji wao na kocha wakiulizwa kuhusu Debora wanamwagia maua yake...
Huyu ndie Mavambooo...
 
Ana mapungufu mengi sana, msikilize mchambuzi mashabiki wa Simba akisema Debora ana mambo menginya kujifunza Kwa aucho

View: https://youtu.be/R3m7hJVE45U?si=0DXFTQk1PofpRx4M

Usipate shida anza kumsikiliza dakika ya 7:40
 
Yani MBUMBUMBU SC ni WAPUMBAVU sana...tena ni MAJINGA

anaitwa DEBORA

kikosi cha bilioni 7.🤔🤔
Bora hao kuliko hizi mbugila zinazoturudisha utumwani
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    38 KB · Views: 3
Debora Mwambaaaa
Hapa unaambiwa Aziz Mdomo nyapu alitoa ushuzi gesi inajaa mtungi mkubwa
 
Attachments

  • FB_IMG_17304415304564120.jpg
    FB_IMG_17304415304564120.jpg
    307.2 KB · Views: 3
  • IMG-20240809-WA0053.jpg
    IMG-20240809-WA0053.jpg
    152.1 KB · Views: 3
Back
Top Bottom