Mashabiki wa Simba Kigoma wavamia kambi na kugoma kuondoka hadi wamuone Debra Fernandez Mavambo

Mashabiki wa Simba Kigoma wavamia kambi na kugoma kuondoka hadi wamuone Debra Fernandez Mavambo

Debora ana goli ligi kuu wakati mwana wa mfalme Dube anasema kichwa kinamuuma.
 
Anaitwa Debora, hiyo Debra munaipata wapi?
Wabongo acheni uchoko wa kuhalibiana majina.

Kama wazazi wake waliamua kumuita Debora we ninani mpaka umuite Debra?
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
JamiiForums-31645776.jpeg
 
Mavawmbooow.
Kiungo wa mpira wa miguu.
Fundi wa kandanda.
Kiungo wa dimba la kati.
Master wa mpira.

Semeni vibaya tu, ila Deborah Fernandez Mavambo ni kiungo mzuri wa ball.
Simba hawajakosea kumsajili.
 
Back
Top Bottom