Mashabiki wa Simba kuchanga pesa za kununua wachezaji

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
MASHABIKI WA SIMBA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII.

Baadhi ya mashabiki wa Simba wameamua kuchangishana FEDHA kwa ajili ya kuimarisha idara ya kiungo na idara ya mshambuliaji.

Hayo yametokea Baada ya mchezo wa jana DHIDI ya Yanga Baada ya Simba kufungwa goli 2 kwa 1.

Mashabiki wamekuja juu kufuatia kutoona faida ya Bilioni 20 KUSHINDWA kusajili wachezaji Kama.
0.Victoria adebayor
1. Azizi kii
2. Manzoki
3.Fabrice Ngoma.
4.Abdul Suleiman SOPU.
5. Victoria Adebayor.
6. Luis Miquesson nk

Wanadai mnaleta wachezaji wa Bei che wasio na uwezo kama MZUNGU, Kyombo, kanute, Banda nk.

MASHABIKI WANADAI WAMEWACHOKA WAMEAMUA KUINGIA SITE WAO KABLA YA DIRISHA DOGO.

# MTOENI MZUNGU
 
Nina taaluma ya uhasibu nitazitunza vizuri sana
 
Ukute yule mdhuungu alikuja kwenye Royal Tour makolo wakapita nae.
 
Mtoa mada ni uto....acha uzushi
 
Yanga sio watu wazur.
Vipi mkuu, matarjio yenu kuchukua ubingwa wa Afrika, msimu huu. Hahaha...Africain anaenda kuwaonyesha kuwa hakika Yanga mi mboga mboga, unatolewa na Al Hilal ambayo inasukwa bado mpya, Makabi Lillepo anapiga vishuti kama vya mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…