Pesanyingi
JF-Expert Member
- Apr 15, 2023
- 1,157
- 1,983
Ukisikiliza propaganda za viongozi wa Simba unaweza sema timu ina maajabu ila kiuhalisia hakuna kitu.
Masuala ya kusema kila mara tumejitahidi hayana tija. Mashabiki tunaumia sana na watoa maamuzi ndani ya club, mtu unaacha shughuli zako, unatoka mbali ili uisapoti timu ila unachokutanacho uwanjani inasikitisha.
Msemaji wa Simba pia acha propaganda za kuwaadaa mashabiki, hatuna timu yenye uwezo kiushindani hasa tunapokutana na timu ambazo zipo seriously kwenye uwekezaji.
Tumewaacha wachezaji wenye unafuu kama baleke na phiri mmeleta magarasa ya kukaa bechi.
Kwasababu viongozi hawaumii na haya yanayotokea nawaambia mwakani yatajirudia, kuokoteza wachezaji wastaafu kuja kucheza Simba.