Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Sasa hapo ndio uwezo wao ulipoishia.Simba wamecheza vizuri wameshambulia shida ipo kwenye umaliziaji tumekosa magoli mengi sana ya kizembe.
Watu wanapoongelea quality wewe huwa unaelewa nini?