Mashabiki wa Simba ni wakati sasa wa kupumzika na kupumzisha akili zetu kwenye mambo mengine

Timu ina wachezaji
Ila wanaoanza ndo tatizo

Narudia tena na tena

Simba icheze vizuri waondoe wachezaji wawili tu first 11

Saido

Kibu.D

Yani hawa wasicheze kabisa

Aanze chasambi
Na miqquisone

Haya mabadiliko yakitokea tutapiga hatua

Huwezi kuwa na washambuliaji ndani kwenye mechi crucial kama hzi anashindwa kucontrol mpira

Mchezaji anashindwa kulenga lango kabaki na kipa unategemea nini?
Na ni kwanini hatubadiliki

Kwanini hawa wengine hawachezi

Kina balua kama hawachezi walisajiliwa ya nini??
 
Hapa ndiyo ilikuwa kosa kubwa na kosa lingine ni kutembea na historia ya kwa mkapa hatoki Mgeni matokeo yake hatoki mwenyeji .
Yaani wanajikuta sijui nani , maana kila ukiingia jukwaani ni nyuzi za kuinanga yanga
Ngoja tuendelee kuwaombea njaa kuke Cairo wakachezee Tano tena
 
Shida sio hela ya usajili shida ni hao wanaojiita ma scout sijui nini..hao ndo tatizo..wanashindwaje kusajili wkt wanawalipa mishahara mikubwa watu wamekaa tuu?
 
Ukweli usemwe, viongozi wa Simba wanazingua, hawana direction tena hawajui wapi wanaipeleka timu.

Hata Ulaya mashabiki wana nguvu ya kuwaambia ukweli viongozi wao, mashabiki wa Man Utd hawakuwaremba Glazers Familly, mashabiki wa Chelsea mpaka leo wanaimba jina la Mourinho hawamtaki Pochetino.

Timu kuwa mbovu vionhozi lazima walaumiwe wao sio malaika.
 
Mnagongwa leo kwa Nkapa hatoki Ntu, Simba Maneno mengi mpira Sifuri ndio maana wameambulia Zero
Yaani yanga wenye akili ni wawili tu, sasa maneno ya mashabiki mnajua timu ndio inachowaza, kwahiyo viongozi, benchi la ufundi na wachezaji walikuwa hawafanyi chochote wanawaza yanga na mamelod tu? Kweli nyie uto pro max
 
Yaani yanga wenye akili ni wawili tu, sasa maneno ya mashabiki mnajua timu ndio inachowaza, kwahiyo viongozi, benchi la ufundi na wachezaji walikuwa hawafanyi chochote wanawaza yanga na mamelod tu? Kweli nyie uto pro max
Sifuri mmepigwa cha Mbunge
 
Nakazia
 
Yaani yanga wenye akili ni wawili tu, sasa maneno ya mashabiki mnajua timu ndio inachowaza, kwahiyo viongozi, benchi la ufundi na wachezaji walikuwa hawafanyi chochote wanawaza yanga na mamelod tu? Kweli nyie uto pro max
Mbona ulichokiandika hakieleweki wewe msichana au upo period?
 
Sikiliza bint, sisi wanaume hatuendi period kama nyie kina dada, kama huelewi ni wewe na kichwa chako kigumu
Bint nguvu tangu lini umekuwa mwanaume? Kisome ulichokiandika kile mrembo
 
Wengine wanapata ajali kwa ajili yao ila viongoz wakisaidiana na wanachama uchwara wanaleta wachezaji magarasa,, ili wafaidi 10% zao bila kujali mafanikio ya timu ...
 
Simba wamecheza vizuri wameshambulia shida ipo kwenye umaliziaji tumekosa magoli mengi sana ya kizembe.
Jidanganye kuwa mmecheza vizur..wale alhal sijui.. ndio waliamua kuwaacha mchezee mpira sabb lengo lao lilikua tayar limetimia..nendeni uko kwao muone kama mtagusa uo mpira!!

Sifatiliagi mamb ya mpira ila Jana nikasema nitazame nione inakuaje..Simba ya Tanzania hamna timu pale zaidi ya kuungaunga ..
 
Kwa hiyo tumlaumu kiongozi gani sasa! Mangungu au Try Again! Au kipenzi chenu Mo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…