Mashabiki wa Simba Sc hawapaswi kuwa na matarajio makubwa sana Timu yao kuifunga Al Ahly Tripoli

Kila laheri Mnyama.... 🦁 🦁
 
Mulipaswa kuwatoa sundowns msimu jana

Maana mlikua na form nzuri kuliko wao

Gues what? uzoefu ukawaondoa.
Yaani Yanga ilikuwa na form nzuri kuliko Mamelod Yanga ambayo Key player wake watatu waliumia, iwe sawa na Mamelod. Mamelod ambayo ipo kwenye michuano ya FIFA iwe sawa na Yanga. Hebu hapa ww umetumia vigezo gani....? Yanga ni bora ila kwa Mamelod walikuwa bora zaidi yao.

Uzuri mpira na ujua na huwaga sipendagi kujidanganya na kujipa asilimia kubwa kwa timu nisiyo ijua. Wale jamaa wana Striker kutoka Angola nazani ulimuona kwenye michuano ya CAF alivyokuwa aggressive,sijajua kwa wengine ila kummiliki mchezaji kama yule maana hata kiuchumi wapo vizuri, timu ikiwa kiuchumi ipo vizuri maana hata uwezo wa kuwapata quality player wanao.

Ndio maana nikasema kuna Current form na uzoefu. Yanga kwa Mamelod walikuwa na game plan nzuri sana na ilifanikiwa ,ila kwenye penati wakatoka kwani penati hazinaga wenyewe.
 
Kwani huyo Mabululu ana goli ngapi CAF competition hadi watu wamwogope yeye tu?
Kama pesa hata Azam anazo na yupo nje ya mashindano tatari.
 
Reactions: BRN
Kwani huyo Mabululu ana goli ngapi CAF competition hadi watu wamwogope yeye tu?
Kama pesa hata Azam anazo na yupo nje ya mashindano tatari.
Sawa ila michuano juzi ya CAF akiwa na Angola kwenye mechi 5 katupia tatu,aliye chukua kiatu alikuwa na goli tano.

Thamani yake ni hiyo.

Salary yake.

Mpaka hapo nazani unaona, hao Azam wenye hawajawahi kutoa kiwango hiko cha fedha kwa mchezaji mmoja.Timu unaweza husiijue ila kupitia profile ya wachezaji wake na misuli yake ya kiuchumi unajua unakutana na timu ya aina gani.
 
Pole !
Ulitumia muda mwingi kuandika gazeti, lakini yote uliyoandika yamekuwa useless. Wazungu wanayaita whole crap of bull shit
 
Tumeiona ni timu ya aina gani mkuu na wao watakuwa wameelewa simba ni timu ya aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…