SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mnavyoiombea mabaya Simba mnaweza kuta nyie ndiyo mnatolewa nishai na timu ambayo haina jina kubwa, nimekaa pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuwaonei huruma ila tunaongea mnayo ongea ninyi.hizi kauli ni kama mnatuonea huruma sio?
Kila laheri Mnyama.... 🦁 🦁Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli
ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika.
Ukitazama kikosi cha Simba kwa sasa kina wachezaji wapya wengi na kocha pia ni mpya kwahiyo kipo katika matengenezo ya kuboresha kikosi chao na kuwa bora zaidi. Lakini pia Al Ahly Tripoli wana wachezaji ambao wanaCV kubwa sana kuliko Simba na waliojaa uzoefu mkubwa katika michuano hii.
Kwahiyo kikubwa Simba wacheze kwa tahadhari sana kwenye mechi zao zote yani ya nyumbani na ugenini. Nafahamu pia mpira wa miguu unamatokeo yake lakini kwa hapa Simba waonyeshe walicho nacho kama ikitokea kufuzu hatua inafuata basi ni jambo zuri kwao na litawapa nguvu zaidi na kufanya vyema.
Soma Pia:
Mechi itakuwa Jumapili 15 Septemba, 2024 Simba SC vs Al Ahly Tripoli. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku
tulieni vyumbani mwenuHatuwaonei huruma ila tunaongea mnayo ongea ninyi.
Unaona na wewe umeongea kilekile,ila kumbuka kuna uzoefu na current form,zote huamua matokeo ya mpira.tulieni vyumbani mwenu
sisi ni wazoefu wa haya mashindano kuliko ninyi.
Mulipaswa kuwatoa sundowns msimu janauzoefu na current form,zote huamua matokeo ya mpira.
Yaani Yanga ilikuwa na form nzuri kuliko Mamelod Yanga ambayo Key player wake watatu waliumia, iwe sawa na Mamelod. Mamelod ambayo ipo kwenye michuano ya FIFA iwe sawa na Yanga. Hebu hapa ww umetumia vigezo gani....? Yanga ni bora ila kwa Mamelod walikuwa bora zaidi yao.Mulipaswa kuwatoa sundowns msimu jana
Maana mlikua na form nzuri kuliko wao
Gues what? uzoefu ukawaondoa.
Kwani huyo Mabululu ana goli ngapi CAF competition hadi watu wamwogope yeye tu?Yaani Yanga ilikuwa na form nzuri kuliko Mamelod Yanga ambayo Key player wake watatu waliumia, iwe sawa na Mamelod. Mamelod ambayo ipo kwenye michuano ya FIFA iwe sawa na Yanga. Hebu hapa ww umetumia vigezo gani....? Yanga ni bora ila kwa Mamelod walikuwa bora zaidi yao.
Uzuri mpira na ujua na huwaga sipendagi kujidanganya na kujipa asilimia kubwa kwa timu nisiyo ijua. Wale jamaa wana Striker kutoka Angola nazani ulimuona kwenye michuano ya CAF alivyokuwa aggressive,sijajua kwa wengine ila kummiliki mchezaji kama yule maana hata kiuchumi wapo vizuri, timu ikiwa kiuchumi ipo vizuri maana hata uwezo wa kuwapata quality player wanao.
Ndio maana nikasema kuna Current form na uzoefu. Yanga kwa Mamelod walikuwa na game plan nzuri sana na ilifanikiwa ,ila kwenye penati wakatoka kwani penati hazinaga wenyewe.
Sawa ila michuano juzi ya CAF akiwa na Angola kwenye mechi 5 katupia tatu,aliye chukua kiatu alikuwa na goli tano.Kwani huyo Mabululu ana goli ngapi CAF competition hadi watu wamwogope yeye tu?
Kama pesa hata Azam anazo na yupo nje ya mashindano tatari.
Pole !Naweza kusema kwa sasa klabu ya Simba SC hususani mashabiki wa klabu hiyo hawapaswi kuwa na matarajio makubwa kwa timu yao kupata matokeo chana mbele ya Al Ahly Tripoli
ya Libya katika Kombe la Shirikisho Afrika.
Ukitazama kikosi cha Simba kwa sasa kina wachezaji wapya wengi na kocha pia ni mpya kwahiyo kipo katika matengenezo ya kuboresha kikosi chao na kuwa bora zaidi. Lakini pia Al Ahly Tripoli wana wachezaji ambao wanaCV kubwa sana kuliko Simba na waliojaa uzoefu mkubwa katika michuano hii.
Kwahiyo kikubwa Simba wacheze kwa tahadhari sana kwenye mechi zao zote yani ya nyumbani na ugenini. Nafahamu pia mpira wa miguu unamatokeo yake lakini kwa hapa Simba waonyeshe walicho nacho kama ikitokea kufuzu hatua inafuata basi ni jambo zuri kwao na litawapa nguvu zaidi na kufanya vyema.
Soma Pia:
Mechi itakuwa Jumapili 15 Septemba, 2024 Simba SC vs Al Ahly Tripoli. Mtanange huu utapigwa kuanzia saa 2:00 usiku
Poleeee wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kuwastua ili jpil wapate pressure hospital zipige hela.
Yeye apambane na yakee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usitupangie timu yetu
Experience tunayo na tunatamba nayoooo!!!Wana experience wenyewe wanakuambia, ngojea tuone.
Na imeamua kweliii, vipi una jingine? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaona na wewe umeongea kilekile,ila kumbuka kuna uzoefu na current form,zote huamua matokeo ya mpira.
Asante yaan kusema ukweli Simba akishinda naumia sana🤣🤣Poleeee wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumeiona ni timu ya aina gani mkuu na wao watakuwa wameelewa simba ni timu ya aina ganiSawa ila michuano juzi ya CAF akiwa na Angola kwenye mechi 5 katupia tatu,aliye chukua kiatu alikuwa na goli tano.
Thamani yake ni hiyo.
View attachment 3094188
Salary yake.
View attachment 3094202
Mpaka hapo nazani unaona, hao Azam wenye hawajawahi kutoa kiwango hiko cha fedha kwa mchezaji mmoja.Timu unaweza husiijue ila kupitia profile ya wachezaji wake na misuli yake ya kiuchumi unajua unakutana na timu ya aina gani.