Kwani mbona misimu 2 iliyopita timu yenu ilikuwa ikisajili kwa gharama kubwa kuliko Simba SC lakini mlishindwa kupata ushindi zaidi tu Kichuyaaaaa akipeleka maangamizi, je mlikumbwa na nini kifafa au?
Hongera kwa ushindi wa jana . sare kwenu ushindi
KKichuyaaaaa akipeleka maangamizi, je mlikumbwa na nini kifafa au?
Hongera kwa ushindi wa jana . sare kwenu ushindi
Huwa tunafungwa na Simba na tunachukua ubingwaYanga mbn mnakua wapuuzi mbona nyie mnakuaga na kikosi cha hela kibao na uwa mnafungwa na simba simba ikiwa na kikosi cha watoto chirwa alisajiliwa kwa sh ngap au mmesahau au mnakariri kwamba usajili ni msimu mmoja
Iyo bil unaweza tupa mchanganuo wake ?,au unafata maneno ya magazeti mbona madrid anapigwa na timu ambayo haifiki hata robo ya kikosi chake
Hata zikijumlishwa gharama za Yanga za usajilikwa misimu 2 yaani 2016/17 na 2017/18 bado hazifiki kiasi cha Bilioni 1.3
Mara ya mwisho kuifunga simba ni lini hachana na kikosi cha bil 1apo nyuma ikiwa na kikosi cha kuungaungaHuwa tunafungwa na Simba na tunachukua ubingwa
Tambwe amefunga goli ngapi kwenye mechi za wataniAnachokifanya Kichuya hivi sasa ni sawa na kile ambacho amekuwa akikifanya Tambwe tangu atinge jangwani...Kichuya kaanza jana, Tambwe ni wa kitambo sana kwenye kufunga dhidi ya Simba.
Iyo bil unaweza tupa mchanganuo wake ?,au unafata maneno ya magazeti mbona madrid anapigwa na timu ambayo haifiki hata robo ya kikosi chake
Tambwe amewafunga Simba magoli 3 tangu ajiunge na YangaTambwe amefunga goli ngapi kwenye mechi za watani