Mashabiki wa Simba SC tuamke, Mo Dewji anainyonya sana Simba

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.

Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150?

Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti

Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]

[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
 
Aisee....
Nani mbadala wake aliyejitokeza na zaidi ya anachotoa?
Fred vunja bei anatoa 1bil Kwa mwaka tumemficha kwenye Kola alafu Mo Xtra milion 150 yupo mbele? Sasa na Hawa Emirate Aluminium wenye mil 100 ambao kimsingi hawajatofautiana sana na Mo Xtra si na wenyewe tungewaweka mbele tu kuliko kuwaficha huko mabegani[emoji848][emoji848]
 
Kwa mfano sasa wewe unatuamsha, tumwambie kwa makolokolo yake alipe kiasi gani?

Au unawashwa unataka mwiko uchomolowe uwekewe kuni o
Ikiwa mbet anatoa 4.5b kwa mwaka kukaa mbele ya jezi ya Simba huoni ni jambo la ajabu Mo Xtra kukaa mbele kwa mil 150?

Jifunze kutoa hoja bila lugha ya Matusi hayakusaidii zaidi inaonesha ulivyo kubwa jinga
 
Ndio mnashtuka leo kuwa mnaibiwa? Mo muhuni sana na bado ataendelea kuwaibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…