Mashabiki wa Simba SC tuamke, Mo Dewji anainyonya sana Simba

Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.

Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150??[emoji848][emoji848]

Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti

Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]

[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Mwambie basi babaako aweke matangazo yake kwenye jezi za Simba halafu atupe mabilioni tuachane na Mo!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Huwa najiuliza sana izo 20 billion aliziweka wap koz kama ipo hio 20 billion kwenye account ya simba tunaweza kununua at treasury bond pale BOT na ikawa kama ndo dhamana yetu yaani tunapata contractor mzur tunjenga iwanja na kila kitu but sizan kama ni kwel sasa kama mapato ni 12bil na matumizi 4bil hio 8bil mo kapiga...... mo ni mfanya biashara bana anaitumia simba kama soko lake
 
Bora kutoa matusi ukiwa na facts huku ukiwatusi wapiga makelele wasiojua lolote.

Nimekuuliza, wewe ulitaka Mo alipe bei gani? Tuamshe na sisi tuamke. Vinginevyo tuondolee makelele yako au mtoe Mo uweke ya kwako ulipe sawa na M Bet
Hili kipwete ni shabiki la Utopolo. Wala asiwasumbue.Ni katika lile kundi kubwa linaloongozwa na wawili tu wenye akili timamu.Hivyo msikilizeni atapayuka hapa akichoka atapiga miayo atalala.
Asubuhi ataamkia mihogo na kuweka bando la 1000 ataanza tena ujinga wake
Ndio walivyo hao gongowazi.Unafikiri kwa nini waliitwa migongo wazi?
Ndio tabia zao hao.
 
Unajua nini mkuu,

Wabongo kulalamika ni jadi, haya ukiwaambia tumtoe Mo, lete sasa huyo wa kwako amwage mpunga, holaaaa
Ilo liko wazi mkuu. Hebu fikiria kelele zote za wanasimba kumbe mapato kutokana na kadi za Uanachama ni mil 17 tu Kwa Mwaka halafu watu Hawa wanataka waendeshe klabu?

Mashabiki wa hizi Simba na Yanga ni watu wa hovyo sana wanachojua ni kupiga kelele tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili kipwete ni shabiki la Utopolo. Wala asiwasumbue.Ni katika lile kundi kubwa linaloongozwa na wawili tu wenye akili timamu.Hivyo msikilizeni atapayuka hapa akichoka atapiga miayo atalala.
Asubuhi ataamkia mihogo na kuweka bando la 1000 ataanza tena ujinga wake
Ndio walivyo hao gongowazi.Unafikiri kwa nini waliitwa migongo wazi?
Ndio tabia zao hao.
Wewe huyo hawezi kuwa uto, huyo ni mkia mwenzako mwenye uchungu na Simba yake[emoji23][emoji23]
 
Huwa najiuliza sana izo 20 billion aliziweka wap koz kama ipo hio 20 billion kwenye account ya simba tunaweza kununua at treasury bond pale BOT na ikawa kama ndo dhamana yetu yaani tunapata contractor mzur tunjenga iwanja na kila kitu but sizan kama ni kwel sasa kama mapato ni 12bil na matumizi 4bil hio 8bil mo kapiga...... mo ni mfanya biashara bana anaitumia simba kama soko lake
Umepiga kwenye mshono Mzee baba[emoji122][emoji122]
 
Hivi unafikiri kuendesha timu kubwa ya mpira nisawa nakuendesha baiskeli.kama hujui waulize yanga baada ya Yusuph manji kuondoka jinsi walivyopitisha bakuli.Kuna mambo ambayo huwezi kuyaweka sawa duniani kote.Simba inanufaika na uwepo wa Mo na Mo ananufaika kwa jinsi anavyojua kuwepo simba.Ukitaka kujua kila kitu au kufanya kila kitu kiwe sawa atakayeumia ni Simba na nyie mashabiki ndio mtakaokua wa kwanza kupiga kelele.Ufumbuzi ni huu kama Mo anainyonya Simba nenda kawekeze wewe au tafuta mdhamini atakayeweka pakubwa kuliko Mo ambaye hatakua mnyonyaji.
 
Anaongezea kutoka wapi? Yaani mtu aliyeshindwa kusema wapi ameweka Ile bil 20b ya udhamini Simba, anayeihujuma Simba Kwa kujitangaza kwa malipo kidogo sana Leo hii atoe bil 3.9b for free kuisaidia Simba ?? Ama kweli kumbe sisi Wanasimba wote ni mbu3
Kwani pesa ya ukipeleka team Dubai na kuitafutia mechi za kirafiki zimetoka wapi emu nawewe jibu vitu kwa oja hizi team mbili kogwe bila matajiri aziwezi fika popote leo yupo MO unamuona jua ila mpe team mzee kilomoni hii team inapotea kabisa usiwe fala uwendeshaji wa team ni kazi ngumu sana uku ni africa kuendesha team kifaidah bado sana
 
Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.

Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150??[emoji848][emoji848]

Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti

Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]

[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]

Sawa mnaamka kwenda wapi? Sisi tumeshalala muda huu!
 
Njoo na mwekezaji mwingine
 
Hata sisi wanachama tunainyonya klabu yaani tunajitamba tuna wanachama wengi alafu malipo ya kadi za uwanachama kwa mwaka ni 17m 😂
 
Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.

Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150??[emoji848][emoji848]

Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti

Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]

[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
unaroho ya red devo haswaa.... kunywa maji ulale
 
Fred vunja bei anatoa 1bil Kwa mwaka tumemficha kwenye Kola alafu Mo Xtra milion 150 yupo mbele? Sasa na Hawa Emirate Aluminium wenye mil 100 ambao kimsingi hawajatofautiana sana na Mo Xtra si na wenyewe tungewaweka mbele tu kuliko kuwaficha huko mabegani[emoji848][emoji848]
Vunja bei ni brand ya nguo unataka yakae wapi zaidi ya pale ww nike au adidas ushawahi kuona imekaa mbele tshirt km yanavyokaa maandishi ya sportpesa
 
Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.

Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150??[emoji848][emoji848]

Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti

Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]

[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Wewe kinakuuma nini,ulishawahi kutoa hata senti yako Simba?
 
Back
Top Bottom