Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.
Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150??[emoji848][emoji848]
Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti
Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]
[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]