Mashabiki wa Simba SC tuamke, Mo Dewji anainyonya sana Simba

Mashabiki wa Simba SC tuamke, Mo Dewji anainyonya sana Simba

Anaongezea kutoka wapi? Yaani mtu aliyeshindwa kusema wapi ameweka Ile bil 20b ya udhamini Simba, anayeihujuma Simba Kwa kujitangaza kwa malipo kidogo sana Leo hii atoe bil 3.9b for free kuisaidia Simba ?? Ama kweli kumbe sisi Wanasimba wote ni mbu3
Nafikiri ingekuwa busara wewe utuambie umechangia tshs ngapi kuliko kupiga kelele kwenye pesa ya mtu, weka hela tuweke jina lako kwenye jezi
 
Anaongezea kutoka wapi? Yaani mtu aliyeshindwa kusema wapi ameweka Ile bil 20b ya udhamini Simba, anayeihujuma Simba Kwa kujitangaza kwa malipo kidogo sana Leo hii atoe bil 3.9b for free kuisaidia Simba ?? Ama kweli kumbe sisi Wanasimba wote ni mbu3
1675077987513-png.2500156
 
Bila mo huko Caf champions league ungeenda na mtumbwi yaani hii tabia ya watanzania kuwakimbia watu kipindi cha matatizo na kujifanya wanawajua kipindi cha raha ni mbaya sana mo kaitoa simba chini huko ilikuwa inashirikia ndondi leo imekuwa nafasi ya 10 Africa kila mtu ana kuja na propaganda zake hata kwenye maisha ya kawaida mtu unapambana kusoma huko ukimaliza ukipata kazi tu kila mtu anajifanya ni ndugu yako yaani watanzania wengi ni hamnazo hujawahi kuchangia hata jero ila unasema mo anainyonya simba nonsense

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Kama wewe umeamka inatosha acha sisi tuendelee kulala usingizi bado ni mtamu tusilazimishane kuamka pamoja wakati hatukulala pamoja.
 
Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.

Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150?

Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti

Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]

[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Baba yako je?

Baba yako amwambie naye aweke hela apate hela kwa kuinyinya simba
 
Haya mahesabu yanaonyesha wazi Mo anawapiga maboya wake parefu sana.

Club inaingiza 12B kwa mwaka alafu muwekezaji anamiliki nusu ya hisa zote za club kwa kutoa 20B 😃
Mashabiki faraja yenu ni ushindi, maadam MO anawafanikishieni hilo mnapaswa kumshukuru tena kwa kupiga makoti
 
Unachangia sh ngap mkuu??samahan lkn!!
Nalipia ada ya Uanachama, nanunua jezi original za Simba, ninalipa vingilio karibu kila mechi za Simba hapo taifa, nanunua kila siku bidhaa za mdhamini kuanzia unga, sabuni, vinywaji n.k. in short mchango wangu ni mkubwa sana
 
Back
Top Bottom