Mashabiki wa Simba SC tuamke, Mo Dewji anainyonya sana Simba

Unaelewa maana ya kifuani? Kama matangazo ya mo yapo kifuani je m bet yupo wapi?
 
Weye utatoa shilingi ngapi ili tumtoe Mo boss?
 
Ponjoro ni mnyonyaji ilo liko wazi mbona. Anyway washabiki wa Simba ni mbu3 kwaio hawawezi liona hilo
Mkuu kuona ni jambo moja na kutoa suluhisho ni jambo jingine, mtoa mada au wewe leteni mtu wa kutoa milioni mia5 halafu Simba wakatae ndio tuanzishe hii ligi yenu
 
Vunjabei ni Kit supplier katoa 700
 
Ikiwa mbet anatoa 4.5b kwa mwaka kukaa mbele ya jezi ya Simba huoni ni jambo la ajabu Mo Xtra kukaa mbele kwa mil 150?

Jifunze kutoa hoja bila lugha ya Matusi hayakusaidii zaidi inaonesha ulivyo kubwa jinga
Mkuu, nani alienda na mil200 akakataliwa kisa mo kakaa pale? Mngetuambia coca-cola amenyimwa kisa mo ndio ingekuwa hoja
 
Haya mahesabu yanaonyesha wazi Mo anawapiga maboya wake parefu sana.

Club inaingiza 12B kwa mwaka alafu muwekezaji anamiliki nusu ya hisa zote za club kwa kutoa 20B [emoji2]
Hujatumia akili.

Hizo 12 ni pamoja na 2bil ambazo MO huwakopesha Simba

Mwaka huu kawakopesha 3.9bil
 
Mkuu, peleka bidhaa yako kwa sh. 151M, atanyang'anywa Mo na utawekewa yako
 
Ikumbukwe Simba S.C ndio klabu bora kabisa na muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf,
Nakupa pongezi ndugu utopolo kwa kukiri hili hadharani, wenzako huwa ni wagumu sana kuukubali ukweli huu
 
toa ushahidi
 
kama angeshinda kaluwa haya usemayo yangehojiwa,ila kwakua mangungu yuko pale kuwa mpole
 
ukiwa mtu mzima ni lazima uwe unafanya utafit kabla ujazungumza...billioni ishirini ipo kwenye account ya Simba ...kumbuka kwenye kukabidhi Ile pesa kulikuwa na uwakilishi wa serikali ambao ni fcc ..yaani ya ushindani na ndio walimshurutisha....je mo alliidanganya serikali kwa kuweka hundi ya uongo...kitu ambacho sio kweli ..msingi ni kwamba Ile pesa haiwezi kutumika mpaka mchakato wa hisa ukamilike....na ndio maana mo amepunguza kutoa hela....coz pesa ya uwekezaji ameshaweka...watu wanasema anainyonya Simba mbali na billioni ishirini ameshachangia billioni ambapo kwa mwaka alikuwa anachangia 4 kwa miaka 5 ambayo ni billioni ishirini so jumla ya pesa ni billioni 40 .na bado juzi amepeleka timu Dubai na ameleta kocha mpya .na bado anaongeza billion tatu kwenye bajeti ya mwaka huu...mnafikiri kuhudumia timu ni kitu kidogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema baba yako hana hela. Uwekezaji.uko.hivyo lazima.kupata.chochote kitu
 
Mashabiki wa hizi Simba na Yanga ni watu wa hovyo sana wanachojua ni kupiga kelele tu
Tena ni hovyo kwelikweli. 🤣🤣🤣🤣🤣

Akiondoka tu mfano Mo au GSM ndo wanajua umuhimu wao.
 
Ponjoro ni mnyonyaji ilo liko wazi mbona. Anyway washabiki wa Simba ni mbu3 kwaio hawawezi liona hilo
Amekunyonya nini? WEWE ulitaka alipe bei gani ndio uamini kuwa hakunyonyi?

Angalia isije kuwa unaongelea kunyonywa nnya kule nyuma mlipozibwa na mwiko. Hamsemi ya kwenu kunyonywa na muuza vilalio kwa kuwa mmechomeka mwiko nyuma hamuoni kundu lenu.😂😂
 
Mo aongeze matangazo tu yale hayatoshi sisi kama shabiki wa simba tumerizika hakuna tatizo
 
Mm simba nimeikuta, nikaipenda mwenyewe, nitaiacha. Siitolei hata sh kumi labda nikununua jezi kwa vunjabei n kuingia uwanjani. Awe mo, awe baresa, au awe mkanjunju anafaidika na simba, mm furaha au hasira zangu ni matokeo ya uwanjani bhaaass
 
Mkuu kuona ni jambo moja na kutoa suluhisho ni jambo jingine, mtoa mada au wewe leteni mtu wa kutoa milioni mia5 halafu Simba wakatae ndio tuanzishe hii ligi yenu
Sasa kazi ya viongozi wa Simba ni nini km sisi ndio tutafute wadhamini wazuri??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…