Nafikiri ingekuwa busara wewe utuambie umechangia tshs ngapi kuliko kupiga kelele kwenye pesa ya mtu, weka hela tuweke jina lako kwenye jeziAnaongezea kutoka wapi? Yaani mtu aliyeshindwa kusema wapi ameweka Ile bil 20b ya udhamini Simba, anayeihujuma Simba Kwa kujitangaza kwa malipo kidogo sana Leo hii atoe bil 3.9b for free kuisaidia Simba ?? Ama kweli kumbe sisi Wanasimba wote ni mbu3
Toa pesa wewe upewe matangazoYaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150...
Anaongezea kutoka wapi? Yaani mtu aliyeshindwa kusema wapi ameweka Ile bil 20b ya udhamini Simba, anayeihujuma Simba Kwa kujitangaza kwa malipo kidogo sana Leo hii atoe bil 3.9b for free kuisaidia Simba ?? Ama kweli kumbe sisi Wanasimba wote ni mbu3
Umepotea sana mtani[emoji2772] endelea kupigwa vichwa hukoManyokanyoka katika ubora wenuView attachment 2500489
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Baba yako je?Yaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.
Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150?
Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti
Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]
[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Baba yako amwambie naye aweke hela apate hela kwa kuinyinya simbaYaani ni jambo la ajabu kabisa kusikia yale makolokolo yote ya Mudi kwenye jezi ya Simba thamani yake ni milion 150.
Hivi Simba mpo seriously kweli? Mnampa mtu aweke matangazo yake Tena kifuani mwa jezi zetu kwa mkataba wenye thamani ya mil 150?
Ikumbukwe Simba S.C ndio muwakilishi mzuri Kwa vilabu ukanda huu wa Afrika mahariki na kati kwenye mashindano ya Caf, Sasa inashangaza kuona matangazo ya Mo yanaonekana worldwide kwa mkataba wa mil 150?
Yaani sijui Mo Xtra, Mo sabuni Mo viberiti
Tunanyonywa sana ndugu zangu hebu tuamke Mo anatupiga parefu sana[emoji23][emoji23]
[emoji881]Nguvu moja[emoji123][emoji123][emoji123]
Mashabiki faraja yenu ni ushindi, maadam MO anawafanikishieni hilo mnapaswa kumshukuru tena kwa kupiga makotiHaya mahesabu yanaonyesha wazi Mo anawapiga maboya wake parefu sana.
Club inaingiza 12B kwa mwaka alafu muwekezaji anamiliki nusu ya hisa zote za club kwa kutoa 20B 😃
Jifunze kwanza kuandikaBaba yako je?
Baba yako amwambie naye aweke hela apate hela kwa kuinyinya simba
Mno mnoUmaskini mbaya sana
Nalipia ada ya Uanachama, nanunua jezi original za Simba, ninalipa vingilio karibu kila mechi za Simba hapo taifa, nanunua kila siku bidhaa za mdhamini kuanzia unga, sabuni, vinywaji n.k. in short mchango wangu ni mkubwa sanaUnachangia sh ngap mkuu??samahan lkn!!
DusheleleAnakunyonya wapi??