KAULI YA MANARA HIYO "Heri nego kavu na utulivu kuliko karamu ya Mfalme na machafuko ‘Bible’
Nilikwenda mwenyew mchana huu klabuni Yanga,bahati mbaya sana sikuwakuta viongozi wa klabu,,Wazee niliowakuta nje baada ya kuwaeleza nimekuja kukabidhi pesa za masimango walinisihi sana nisifanye hvyo na wakaniambia yule ni mgeni hapa mjini na hajui tamaduni zetu na kuniomba nisirejeshe hata thumni... Nimefundishwa kuwatii wazee, na ntarejea kwa Wanasimba walionikabidhi pesa zao,,,busara itawashauri tupeleke hospitali kwa wagonjwa wasiojiweza,,ikiwapendeza tutafanya hvyo!!
Kwetu nimefundishwa uungwana,,kwetu nimepata malezi bora,,kwetu wazazi wangu walinijaza na Jeuri ya kutokubali kuonewa wala kunyanyaswa... halaf mm sijatoka Mbwinde,,hilo ni Muhimu sana na ndio maana naweza kuwa Msemaji pekee naweza kwenda klabu nyingine tena mchana kweupeeeee."
TUKISEMA HUYU JAMAA HAFIKIRI KABLA YA KUTENDA MUWAGE MNAKUBALI.
SASA HUKO HOSPITALI ATAKAKOZIPELEKA NDIO ITAKUWA IMEFUTA KUSAIDIWA NA HILO MNALOLIITA KUNDI LA YANGA?
#MBUMBUMBUATABAKIAKUWAMBUMBUMBUTUSIKUZOTE.