Mashabiki wa Simba SC tumechoka masimango, tunarudisha msaada wenu matibabu

Mashabiki wa Simba SC tumechoka masimango, tunarudisha msaada wenu matibabu

Ubaya wa kuchangiwa pesa na Maskini njaa.
Hasahau maisha yake yote,
na ukimkera kidogo tu anaikumbushia.
Sisi wenye nazo tulishaga sahau kama tumesaidia watu wangapi.

Dawa ni kuzirudisha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Namshangaa sana Shabiki wa Yanga FC anayetumia muda wake mwingi Kuidhihaki Simba SC inabebwa. Hivi Timu yetu ( Yanga ) inapoteza alama 8 dhidi ya Prisons, dhidi ya Mbeya City, dhidi ya Coastal Union na dhidi ya Polisi halafu unatumia nguvu Kubwa Kuitukana Simba SC? Kwahiyo na Yanga FC istahili Kubebwa ili isipate Sare 4? "

Jr[emoji769]
 
Kwa hiyo pesa karudisha kwa nani?
Usikurupuke soma Mistari kwa Makini!

Hoja si kuchangiwa hapa! Point ni kwamba Yeye alichangiwa na WASHABIKI WA YANGA lakini shida ni pale anapojitokeza Mtu akajisifu kwenye Mitandao kuwa Kamtibu yeye kama yeye

Manara yeye mwenyewe anakubali kuwa Kachangiwa na Washabiki wa Yanga ambapo hata huyo Jerry Murro mwenyewe hakujuwa huo mchango ulianzaje!

Lakini leo anajitapa kuwa eti alitoa yeye hela za kumtibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
simba siyo timu ya football ni genge la wahuni na matahiria……………tuanzie apa, nani anabishaa??
 
Nyie mkitutania mnasema utani wa jadi, ila tukiwatania mnarusha mate mpaka kule ooh tunawasimanga. Kama hamtaki utani basi anzisheni utani na Azam FC
Good. Umemaliza mkuu. Hawa mikia wa matopeni wenyewe wanajiona kama ni mashetani wanaweza matusi ila Yanga wanawaona kama malaika hawawezi kutania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona yakutolea hamna. Huyu jamaa mlalamishi Sana.

Yan yeye akiwaponda wenzake Fresh tu yy akitaniwa kidogo tu povu.

Kuuuweeendraaa uko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichokofanya Haji sio uungwana...!

Asidhani kurudisha hiyo milioni 1 ,akumbuke hiyo ilikua na thamani sana kipindi kile na sio sasa pia kwanini huyu mwamba ametaniwa kidogo imekua nongwa kubwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom