Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Haha Manara na wanasimba wamepanic hadi wameamua kujizalilisha namna hii!
Hiyo pesa Murro haimuhusu sasa kwann maneno ya Murro yarudishe isiyomhusu?Hiyo hela Muro haimhusu sasa arushiwe yeye kama nani?
Pesa imechangwa na mashabiki wa Yanga ambao hata yeye manara hawezi kuwatrace na kiwajuwa ni kina nani na ni wangapi.
Kwahiyo ndiyo wakati uwezekano wa kuwatafuta akawarudishia hela haupo ndiyo akaona bora azirudishe Klabuni kwao.
Hahahaaa. Ni lazima atafanya hivyo tena , si ndio akili yake inaishiaga hapo.Hiyo pesa Murro haimuhusu sasa kwann maneno ya Murro yarudishe isiyomhusu?
Nyie misukule mbona mna uelewa finyu?
Halafu Manara boya sana kwahiyo simba akitibuana nao tena ataenda azam kuchangiwa awalipe pesa zao atakuwa wa kuchangiwa tu?
Shule shule shule.
Elim elim elim
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu mwalimu wa madrasa yuko busy kufanya upuuzi.KAULI YA MANARA HIYO "Heri nego kavu na utulivu kuliko karamu ya Mfalme na machafuko ‘Bible’
Nilikwenda mwenyew mchana huu klabuni Yanga,bahati mbaya sana sikuwakuta viongozi wa klabu,,Wazee niliowakuta nje baada ya kuwaeleza nimekuja kukabidhi pesa za masimango walinisihi sana nisifanye hvyo na wakaniambia yule ni mgeni hapa mjini na hajui tamaduni zetu na kuniomba nisirejeshe hata thumni... Nimefundishwa kuwatii wazee, na ntarejea kwa Wanasimba walionikabidhi pesa zao,,,busara itawashauri tupeleke hospitali kwa wagonjwa wasiojiweza,,ikiwapendeza tutafanya hvyo!!
Kwetu nimefundishwa uungwana,,kwetu nimepata malezi bora,,kwetu wazazi wangu walinijaza na Jeuri ya kutokubali kuonewa wala kunyanyaswa... halaf mm sijatoka Mbwinde,,hilo ni Muhimu sana na ndio maana naweza kuwa Msemaji pekee naweza kwenda klabu nyingine tena mchana kweupeeeee."
TUKISEMA HUYU JAMAA HAFIKIRI KABLA YA KUTENDA MUWAGE MNAKUBALI.
SASA HUKO HOSPITALI ATAKAKOZIPELEKA NDIO ITAKUWA IMEFUTA KUSAIDIWA NA HILO MNALOLIITA KUNDI LA YANGA?
#MBUMBUMBUATABAKIAKUWAMBUMBUMBUTUSIKUZOTE.
Yaani sio siri Mkuu anatuaibisha sana aiseee.
Sema wewe. Hapa ndio ujue dhahiri alishikwa pabaya na utani hauwezi.
Nimeona sehemu kumerushwa picha akiwa pale Jangwani halafu anadai wazee wamemsihi asizirudishe. Sasa si wehu huo alionao.
#WashauriwaManaramuwemnatumiaakili.
Hahahaaa. We mpambe tu japo wanasemaga kuzaliwa mjini form six lakini kwa akili yake hiyo inabidi tumfikirie sana kumuweka katika kundi la hao Form SixIvi unajuwa kuwa Manara hakuzaliwa Kijijini?
Manara ni Mtoto wa Mjini kindakindaki na siyo huyo Muro mwanakijiji
Siku unamkabidhi bumbuli usisahau kupost picha kama hiyo, otherwise tutajuwa ujanja wako wa kutaka kuchangiwa a.k.a kitonga unaendelea kimtindo.Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haji Manara amesema:
"Washabiki wa Simba wamenijia ghafla leo ofisini na kunikabidhi shilingi milioni moja ambazo zilichangwa kwa hiyari na Group moja la Watsap la Yanga wakati nilipoumwa macho,ili pesa hzo nizirejeshe baada ya baadhi ya Wanayanga kuendeleza masimango eti wao ndio walinitibia india!!
Kiukweli inaumiza sana kurejesha pesa lakini inaumiza sana pale mmoja ktk wasemaji wao anaposema yy ndio alinitibia.
Nimezipokea pesa hzo na naendelea kumtafuta Bumbuli ili nimkabidhi mchango wao waliotoa kwa hiyari yao.. Shukran Wanasimba kwa kujali."
Habari ndo hiyo
Ndiyo sisi washabiki tulimchangia, kwa upendo wetu kwako. Sasa mbona unatukosea kusema unarudisha mchango wetu kwa Bumbuli, basis tutafute sisi tuliochanga fedha zetu kwa upendo uturudishie, ila kumbuka kuna miongoni mwetu kuna ambao walishatangulia mbele ya haki, na wao walijichanga hivyo kidogo kidogo hadi ikiafika hiyo M 1, sasa sijui hao utawafanyaje? Haji nakushauri bro jaribu kuwa muungwana, na kama utani uwezi basi nyoosha mikono juu ili sisi watani zako tujue na tuache kukutania. Ila kama utaendelea na uroporopo wako juu yetu, basi kurudisha huo mchango hakutakiepusha na kikombe hiki, utapigwa kwa maneno hadi ukome. Hakika waswahili walisema Mkuki kwa Nguruwe......., Wengine wakasema Nyani haoni Kundule, Leo ndiyo nimeamini.Usikurupuke soma Mistari kwa Makini!
Hoja si kuchangiwa hapa! Point ni kwamba Yeye alichangiwa na WASHABIKI WA YANGA lakini shida ni pale anapojitokeza Mtu akajisifu kwenye Mitandao kuwa Kamtibu yeye kama yeye
Manara yeye mwenyewe anakubali kuwa Kachangiwa na Washabiki wa Yanga ambapo hata huyo Jerry Murro mwenyewe hakujuwa huo mchango ulianzaje!
Lakini leo anajitapa kuwa eti alitoa yeye hela za kumtibu.
Wanaomuunga mkono kwenye hili suala nao maboya tu ka yeye alivyo. Hakika Rage jina ulilowapa hawa jamaa ni sawia 100%Yaani sio siri Mkuu anatuaibisha sana aiseee.
Cha ajabu wapo wanaoona yuko sahihi kabisa.
Ndiyo sisi washabiki tulimchangia, kwa upendo wetu kwako. Sasa mbona unatukosea kusema unarudisha mchango wetu kwa Bumbuli, basis tutafute sisi tuliochanga fedha zetu kwa upendo uturudishie, ila kumbuka kuna miongoni mwetu kuna ambao walishatangulia mbele ya haki, na wao walijichanga hivyo kidogo kidogo hadi ikiafika hiyo M 1, sasa sijui hao utawafanyaje? Haji nakushauri bro jaribu kuwa muungwana, na kama utani uwezi basi nyoosha mikono juu ili sisi watani zako tujue na tuache kukutania. Ila kama utaendelea na uroporopo wako juu yetu, basi kurudisha huo mchango hakutakiepusha na kikombe hiki, utapigwa kwa maneno hadi ukome. Hakika waswahili walisema Mkuki kwa Nguruwe......., Wengine wakasema Nyani haoni Kundule, Leo ndiyo nimeamini.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Haji Manara amesema:
"Washabiki wa Simba wamenijia ghafla leo ofisini na kunikabidhi shilingi milioni moja ambazo zilichangwa kwa hiyari na Group moja la Watsap la Yanga wakati nilipoumwa macho,ili pesa hzo nizirejeshe baada ya baadhi ya Wanayanga kuendeleza masimango eti wao ndio walinitibia india!!
Kiukweli inaumiza sana kurejesha pesa lakini inaumiza sana pale mmoja ktk wasemaji wao anaposema yy ndio alinitibia.
Nimezipokea pesa hzo na naendelea kumtafuta Bumbuli ili nimkabidhi mchango wao waliotoa kwa hiyari yao.. Shukran Wanasimba kwa kujali."
Habari ndo hiyo
Ndiyo sisi washabiki tulimchangia, kwa upendo wetu kwako. Sasa mbona unatukosea kusema unarudisha mchango wetu kwa Bumbuli, basis tutafute sisi tuliochanga fedha zetu kwa upendo uturudishie, ila kumbuka kuna miongoni mwetu kuna ambao walishatangulia mbele ya haki, na wao walijichanga hivyo kidogo kidogo hadi ikiafika hiyo M 1, sasa sijui hao utawafanyaje? Haji nakushauri bro jaribu kuwa muungwana, na kama utani uwezi basi nyoosha mikono juu ili sisi watani zako tujue na tuache kukutania. Ila kama utaendelea na uroporopo wako juu yetu, basi kurudisha huo mchango hakutakiepusha na kikombe hiki, utapigwa kwa maneno hadi ukome. Hakika waswahili walisema Mkuki kwa Nguruwe......., Wengine wakasema Nyani haoni Kundule, Leo ndiyo nimeamini.
Hao waliochanga walikuwa wapi kuchanga wakati anaumwa?
Ni kipindi gani hiyo mil.1 ilikuwa na umuhimu zaidi, sasa au kipindi anaumwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya bw. Manara tuliza mshono, sisi tulikuchangia kwa hiari, hatukukopesha, hivyo huo mchango uliyochangwa na hao ndugu zako we tumia tu.Mimi ndiyo Haji? [emoji23] [emoji23]
Anayetuhumiwa kumsimanga Manara ni Jerry Muro, si washabiki wa Yanga. Kama ni kurejesha, Manara angemuuliza moderator wa kundi la WhatsApp liliochangia ni kiasi gani Muro alichangia kati ya hizo milioni. Na hizo ndizo ambazo Manara angezirejesha - kwa Jerry Muro na siyo kwa klabu ya Yanga. Mwiba unakoingilia ndiko unakotokea.Hiyo hela Muro haimhusu sasa arushiwe yeye kama nani?
Pesa imechangwa na mashabiki wa Yanga ambao hata yeye manara hawezi kuwatrace na kiwajuwa ni kina nani na ni wangapi.
Kwahiyo ndiyo wakati uwezekano wa kuwatafuta akawarudishia hela haupo ndiyo akaona bora azirudishe Klabuni kwao.
Hata kama ni kweli alichangiwa sawa lakini je Yanga walimchangia ili kuja kumsimanga?Hata akisharudisha haina maana yoyote maana ukweli kila mtu anaujua kuwa Yanga ilimchangia na yeye akaenda kutibiwa.Huo ndo ukweli hata akirudisha haitasaidia kitu maana ndio ukweli wenyewe ambao hawezi kuufuta na kama angejua mapema asingepokea.
Hii tena inaonesha umbumbumbu wa msemaji wa simba baada ya kubanwa kwenye kona hikima inapungua anaropoka. Akarudishe tu lakin lazima arudishe kwa shukrani kwa waliomsaidia sio kwa masimango wala kinyongo bali kwa adabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo tulimchangia ili apone aje kutusimanga na kututukana?Hata kama ni kweli alichangiwa sawa lakini je Yanga walimchangia ili kuja kumsimanga?