Hata kama ni kweli alichangiwa sawa lakini je Yanga walimchangia ili kuja kumsimanga?
upo sahihi mkuu.Ameshafaidika ndo anarudisha. Nadhani kuna ufinyu wa fikra hapo. Poleni kwa mtazamo hasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikurupuke soma Mistari kwa Makini!
Hoja si kuchangiwa hapa! Point ni kwamba Yeye alichangiwa na WASHABIKI WA YANGA lakini shida ni pale anapojitokeza Mtu akajisifu kwenye Mitandao kuwa Kamtibu yeye kama yeye
Manara yeye mwenyewe anakubali kuwa Kachangiwa na Washabiki wa Yanga ambapo hata huyo Jerry Murro mwenyewe hakujuwa huo mchango ulianzaje!
Lakini leo anajitapa kuwa eti alitoa yeye hela za kumtibu.
Kuna utani na madongo....ukimchangia MTU kumtibu sivizuri uaze kumsema tena...hizo nikesi binafsi sio zakitimuNyie mkitutania mnasema utani wa jadi, ila tukiwatania mnarusha mate mpaka kule ooh tunawasimanga. Kama hamtaki utani basi anzisheni utani na Azam FC
Good. Umemaliza mkuu. Hawa mikia wa matopeni wenyewe wanajiona kama ni mashetani wanaweza matusi ila Yanga wanawaona kama malaika hawawezi kutaniaNyie mkitutania mnasema utani wa jadi, ila tukiwatania mnarusha mate mpaka kule ooh tunawasimanga. Kama hamtaki utani basi anzisheni utani na Azam FC
Akili ziko mkianiHajaomba msaada wenu halafu hiyo hela ni group tu la whatsapp ya Yanga walichanga na haikuwa hela iliyotoka as official help kutoka Yanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Asubiri siku aumwe kama alivyoumwa mwanzo then ndo arudishe hiyo hela ili afeel thamani ya kuchangiwa.
Misukule FC mpo?
Sent using Jamii Forums mobile app