GE2025 Mashabiki wa Simba wagoma kumshangilia Rais Samia akitoa salam katika tukio la Simba day

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Imekaa njema sana maana Abdul na Levis accounts zao zina mabilioni ya shilingi ,wananunua mi apprtments masaki ,oyserbay ,wanatebelea magari hadi ya bilioni 10 kwa moja ,Parking lot imejaa magari ya kifaari tu.

Juzi genge la abdul limemteka Dogo aliyepiga picha magari ya Elvis.
 
The
huwezi maliza uoga ulojengwa kwa zaidi ya miaka 50 ndani ya siku moja, my friend hata hii ni hatua nzuri.
We’re slowly getting there,inaweza isiwe mwaka huu but believe me hatuna mda mrefu tutafika tunapopataka.
 
Ili usiwe muoga uondoe ujinga Sasa mashabiki wa simba na yanga wameshindwa kuuondoa Ujinga Kila siku wanajaa uwanjani kushangilia timu za ccm hapo sahau ccm kutoka madarakani sababu hao simba na yanga ndio tanzania yenyewe ccm wajanja sana binafsi Mimi baada ya kuona uchawa wa hizo timu nimejiweka Nazi pembeni nashangilia timu za ulaya tu nawachora tu mnavyohangaika na timu za ccm
 
Taratibu huu ni mwanzo mzuri
 
Gerson Msigwa analazimisha watu wamuitikie Mama Samia kwenye Simba Day 2025 ila Raia zikakausha.. No unafiki

View attachment 3469244
Msigwa anamdhalilisha MAZA ,naonga mkono kesho asirudie huu ujina ,watu hawataki kisikia mambo ya siasa ,msigwa na genge lenu la wahuni wa mtandao endeleeni na siasa mpige hela ,kina Levis na abdul wana accounts zimejaa mabilioni ,wanatembelea magari ya mabilioni ,abdu na genge lake la watekaji wamemteka bwana mdogo aliyepiga magari ya Elvis Kizigha.
 
Elimu pamoja na malezi yetu yametufindisha uoga, ishukuriwe mitandao sasa hivi inatoa knowledge na kufundisha kujisimamia.
Hadi sasa hatupo pabaya tutafika tunapopataka,somo linaingia taratibu.
Ukizingatia na watawala wanavozidi kutia spoku kwenye vidonda siku kikiwaka Tanzania nadhani itakua mwaka mzima, maana maumivu ni mengiiiiii.
 
Sahau hamna kitu kama hicho
 
ni yule mushi?
 
ni yule mushi?
 
Halafu nikishika mic nitawaimbisha wanasimba wakushabikie tutakua tumecheza sana
 
Attachments

  • SnapInsta.to_AQP7GwHECLJMJHmMUjbPUvjiYShIph0CBBx8r04yqrg0ZQWyPEKyP5a9ybdTvrR2P03zXXJTKZaqJGlz9...mp4
    1.2 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…