nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 7,088
- 12,837
kuna dada mmoja amenifurahisha hapo...Gerson Msigwa analazimisha watu wamuitikie Mama Samia kwenye Simba Day 2025 ila Raia zikakausha.. No unafiki
View attachment 3469244
wasiwasi wangu asitekwe tu...
msigwa alipowataka waimbe mama mama mama...
naona ananyoosha mikono, anasema hatutaki bhana...
hili ni jambo zuri na hatua kubwa kufikia ukombozi...