GE2025 Mashabiki wa Simba wagoma kumshangilia Rais Samia akitoa salam katika tukio la Simba day

GE2025 Mashabiki wa Simba wagoma kumshangilia Rais Samia akitoa salam katika tukio la Simba day

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hamna hatua hapo watanzania hakuna kitu kichwani ijumaa mengine yatajaa uwanjani kama kawaida na msigwa atamnadi mama kama kawaida na hata usipoitikia utajua mwenyewe wao hawajali kwani huyo msigwa amecha kukaliwa kimya Leo mbona msimu uliopita watu pia walikaa kimya mtanzania ni maiti
Acha kukatisha watu tamaaa hata mbuyu ulianza kma mchicha!stop being a sadist
 
Acha kukatisha watu tamaaa hata mbuyu ulianza kma mchicha!stop being a sadist
Sikatishi tamaa huo ndio uhalisia watanzania ni wajinga na hawatobadilika yaani wanaishangilia ccm bila kujua sababu ni ujinga Kwa kuzishangilia hizo timu yaani kama huu mtego mdogo tu wa kutokwenda uwanjani wanaushindwa ndio waweze kumchomoa ccm sahau kwanza kitendo Cha kujaa uwanjani kinaonesha wao wanamaisha Bora na ccm inaendesha nchi vizuri na Kuna haki na amani tele kumbe choka mbaya
 
Yaani kilichobaki ni ngoma tu kupasuka
Mungu ana mipango yake mingi lakini kwa picha lilivyo Nchimbi anaweza kupata urais wa kimazabe kama huyu bibi(bibi nuru imepotea kabisa ukimuangalia yani mitano mingine nikumpa Israel mpita na roho za watu sababu)
 
Sikatishi tamaa huo ndio uhalisia watanzania ni wajinga na hawatobadilika yaani wanaishangilia ccm bila kujua sababu ni ujinga Kwa kuzishangilia hizo timu yaani kama huu mtego mdogo tu wa kutokwenda uwanjani wanaushindwa ndio waweze kumchomoa ccm sahau kwanza kitendo Cha kujaa uwanjani kinaonesha wao wanamaisha Bora na ccm inaendesha nchi vizuri na Kuna haki na amani tele kumbe choka mbaya
Watu wanakwenda uwanjani Kwa ajili ya timu zao sio Siasa
 
Watu wanakwenda uwanjani Kwa ajili ya timu zao sio Siasa
We kumbe bado ujinga haujakuisha yaani kabisa umekaa eti wanaenda Kwa ajili ya timu zao hivi unaakili timamu kweli wewe ingekua timu zao hao machawa wa kusifia utawala ungewaonz hapo kupewa airtime yaani wewe kupiga kelele humu au kulipa vi mchango vya kadi ya uanachama Kwa mwaka ndio useme tayari hiyo ni timu Yako funguka akili simba na yanga sio timu za watanzania waliopo nje ya ccm hizo ni timu za chama Cha majambazi ila nyie mnajipendekeza ndio maana nikasema ujinga Kwa mtanzania hauwezi kuisha
 
Lile tukio hata mimi limenifurahisha sana. Wanasimba mlio onesha solidarity ya kukataa kutumika kama toilet paper, nimewafagilia sana kwa kweli.

Nawaomba na mashabiki wa Yanga na wenyewe wafanye hivyo hivyo siku ya mwananchi. Hakuna kumshangilia mtu anayenyima wenzake uhuru wa kuongea, uhuru wa kutoa maoni, haki ya kuchagua na kuchaguliwa, haki ya kuishi, nk.
 
Sikatishi tamaa huo ndio uhalisia watanzania ni wajinga na hawatobadilika yaani wanaishangilia ccm bila kujua sababu ni ujinga Kwa kuzishangilia hizo timu yaani kama huu mtego mdogo tu wa kutokwenda uwanjani wanaushindwa ndio waweze kumchomoa ccm sahau kwanza kitendo Cha kujaa uwanjani kinaonesha wao wanamaisha Bora na ccm inaendesha nchi vizuri na Kuna haki na amani tele kumbe choka mbaya
Mkuu una umri gan!? Watanzania mbona walikuwa wanakiwasha sana toka 2010 -2015 hadi watu wanafia kwenye maandamano, chadema walibugi kumleta Lowasa mtu waliye msema ni fisadi, huku magufuli akipita na sera za. now upinzani unajitafta upya na sio mbaya
 
Back
Top Bottom