Mashabiki wa Simba wahoji kuhusu michango ya faini ya CAF kama ililipwa kweli

Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na manager habari wa club hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio

Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu kuchangisha hela,

Huu ni utapeli wa wazi, ambao uongozi umewafanyia mashabiki, Simba haikupeleka pesa CAF Bali walikatwa kwenye sehemu ya malipo yao

Soma Pia: Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Tukumbuke kuwa kipindi cha CEO Babra, waliitisha michango ya kujenga Uwanja na mashabiki wa Simba walichanga zaidi ya billion 3

Walipohoji kuhusu hizo fedha waliambiwa ati wamejenga ukuta wa uwanja wa Bunju
Hivi pale Bunju Kuna ukuta wa billion 3

Rage aliwaita Wanachama wa Simba mbumbumbu, tuna amini kuwa Rage aliona mbali

Nafikiri ungeuliza uongozi wa Yanga kuwa kocha Ramovic ameuzwa bei gani
 
Attachments

  • IMG_6178.png
    IMG_6178.png
    187.9 KB · Views: 1
Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na manager habari wa club hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio

Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu kuchangisha hela,

Huu ni utapeli wa wazi, ambao uongozi umewafanyia mashabiki, Simba haikupeleka pesa CAF Bali walikatwa kwenye sehemu ya malipo yao

Soma Pia: Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100

Tukumbuke kuwa kipindi cha CEO Babra, waliitisha michango ya kujenga Uwanja na mashabiki wa Simba walichanga zaidi ya billion 3

Walipohoji kuhusu hizo fedha waliambiwa ati wamejenga ukuta wa uwanja wa Bunju
Hivi pale Bunju Kuna ukuta wa billion 3

Rage aliwaita Wanachama wa Simba mbumbumbu, tuna amini kuwa Rage aliona mbali
Hivi mbona nyuma mwiko mnaumia sana mashabiki wa Simba kuchangia timu yao?
Huu si uchawi huu?

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom