Mashabiki wa Simba wana vituko sana wanaamini wao wameshamfunga Al Ahly

Wewe tatizo lako nini ,wakaushie wewe subiri mechi yako J'mosi.
 
We mwarabu umepigaje hapo?
 

Attachments

  • Screenshot_20240307_030348_Instagram.jpg
    227 KB · Views: 3
VIJANA NIWAKUMBUSHE.

Ukishabikia sanaa simba na yanga Akili kichwani zinapungua Automatically bila Kujijua.

Unajikuta muda Mwingi kwenye Ushabiki, mabishano, Kushangilia kusoma nk.

HIZI TIMU ZINATUMIKA KAMA CHOMBO CHA PROPAGANDA CHA SELIKALI

TENGENEZENI FUTURE.
 
Lakini tangu Al ahaly watue,kuna kautulivu fulani mikia wanako
 
Ukishabikia sanaaaa Simba na Yanga. kichwani lazima zipungue.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMEWARUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.
HIZO TIMU NI VYOMBO VYA PROPAGANDA VYA SELIKALI KUWAPOTEZA MABOYA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Naunga mkono hoja
 
Hata kwenye mchezo wao na Yanga Nov. 2023 waliingia hivi hivi na matokeo yao mifukoni. Kilichowakuta mpaka leo ni historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ