Mashabiki wa Simba wana vituko sana wanaamini wao wameshamfunga Al Ahly

Mashabiki wa Simba wana vituko sana wanaamini wao wameshamfunga Al Ahly

Yaani shabiki wa Yanga na akili zake timamu anunue jezi yenye rangi nyekundu na nyeupe ya Al Ahly!

Nyinyi mashabiki mbumbumbu ndiyo mmeingia choo cha kike kwa kununua jezi zinazofanana na zile za Yanga. Na hiyo keshokutwa mtakuwa hamna tofauti na mashabiki wa Yanga.
🤣 Mngekua mnaanza kabla yetu kucheza mngepata nguvu
 
Washabiki wa Simba sasa hivi kila mmoja anachekelea kwa ushindi wa kesho dhidi ya Al Ahly yaani wanaingia na matokeo mfukoni kesho wakifungwa wataanza tena nyimbo zao za kumlaumu kikosi chao, Mangungu na Dewji

Ni hatari sana kuingia na matokeo mfukoni
Hahahahaha...
 
Back
Top Bottom