Mashabiki wa Simba wanatumia propaganda kutoa Yanga kwenye reli ya ubingwa

Kwani uongo..yote ya kweli hata bila propaganda kama ulivyoita
 
hahahaaa usijihami asee
 
Watu wanaona lakini ni vipofu,, Katika mechi (4) za mwisho za vinara wa ligi kuu Tanzania bara, wote wameshinda mchezo mmoja pekee !

Young Africans sc (1) !
✅ 2 - 1 Namungo fc
⚠️ 0 - 0 Simba sports club
⚠️ 0 - 0 Ruvu shooting
⚠️ 0 - 0 Tanzania prisons
.
.
Simba sports club (2)
⚠️ 0 - 0 Polisi Tanzania
⚠️ 0 - 0 Young Africans sc
⚠️ 2 - 2 Namungo fc
✅ 4 - 1 Ruvu shooting
.
.
Azam football club (3) !
⚠️ 2 - 2 Geita gold
❎ 1 - 0 Kagera sugar
✅ 2 - 1 KMC football club
❎ 2 - 1 Mbeya city
.
.
Ile kauli ya timu dhaifu kwa takwimu hizo inakufa kifo cha kawaida 'Natural death'

Wote wameshinda mchezo (1) pekee kwenye michezo (4) ya mwisho lakini kelele nyingi na kashfa zipo kwa Yanga !!! Unadhani kwa nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…