cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kila nikiona hii meme sina mbavu wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Penalty ilifika hukuView attachment 2218959
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nikiona hii meme sina mbavu wallah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Penalty ilifika hukuView attachment 2218959
Kwani uongo..yote ya kweli hata bila propaganda kama ulivyoitaMashabiki wa Simba wanatumia Akili saana kueneza propaganda Zao siku hizi baada ya kuona mwaka huu kombe hawana wameanza propaganda kumtowa mayele kwenye reli Mara sio mshambuliaji
Mara ni wa kawaida saana
Mara hawezi kutufunga sisi
Wamesau FA
Mara anafunga timu mbovu
Mara league ni dhaifu
Mara mayele hawezi kucheza klabu bingwa Africa yaani ni mengi Kweli
Na yote Haya wanafanya ili wa mtowe mayele kwenye reli kama walivyo mtowa Molinga
Na ipo siku kwa style hii Yao Kuna baadhi ya mashabiki wa Simba watavaa jezi za yanga wanakwenda Mpirani ili kumzomea mayele huu ndo ukweli
hahahaaa usijihami aseeMashabiki wa Simba wanatumia Akili saana kueneza propaganda Zao siku hizi baada ya kuona mwaka huu kombe hawana wameanza propaganda kumtowa mayele kwenye reli Mara sio mshambuliaji