Mashabiki wa Simba wang'oa viti uwanja wa Taifa baada ya mechi ya SC sFaxien

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien

Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha

Mashabiki hao wameng'oa mamia ya viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja
Tukumbuke serikali ipo katika ukaribati wa uwanja wa Taifa Kwa ajili ya maandaliz ya CHAN na CAF

Ukarabati huu unatumia Kodi za Watanzania wote, sio jambo jema serikali itumie Kodi zetu wavuja jasho na mashabiki wahuni waje waharibu miundo mbinu hii

Naomba serikali iwatake Simba kukarabati na kununua viti walivyong'oa na wazuiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wahamie Bunju majarubani

Sisi walipa Kodi hatupo tayari kulipa Kodi zitengeneze miundo mbinu na Mashabiki wa Simba waje kuvunja viti
 

Attachments

  • downloadfile-5.jpg
    595.3 KB · Views: 6
Kwanini unasema ni mashabiki wa Simba wameng'oa viti? Ile iweje? Kamilisha taarifa yako.
 
Bila kapicha ni urongo
 
Shenzi wewe uto
 
Simba isiruhusiwe kucheza taifa, mechi zao zipelekwe KMC kwenye majukwaa ya chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…