zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
thibitishaWamevaa jezi nyekundu kuficha ID
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thibitishaWamevaa jezi nyekundu kuficha ID
Ni muhuni pekee ndiye anayeweza kuwa shabiki wa Simba na Yanga kindakindaki (a diehard fan)Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien
Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha
Mashabiki hao wameng'oa mamia ya viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja
Tukumbuke serikali ipo katika ukaribati wa uwanja wa Taifa Kwa ajili ya maandaliz ya CHAN na CAF
Ukarabati huu unatumia Kodi za Watanzania wote, sio jambo jema serikali itumie Kodi zetu wavuja jasho na mashabiki wahuni waje waharibu miundo mbinu hii
Naomba serikali iwatake Simba kukarabati na kununua viti walivyong'oa na wazuiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wahamie Bunju majarubani
Sisi walipa Kodi hatupo tayari kulipa Kodi zitengeneze miundo mbinu na Mashabiki wa Simba waje kuvunja viti
Unakaaa zwa auMashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien
Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha
Mashabiki hao wameng'oa mamia ya viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja
Tukumbuke serikali ipo katika ukaribati wa uwanja wa Taifa Kwa ajili ya maandaliz ya CHAN na CAF
Ukarabati huu unatumia Kodi za Watanzania wote, sio jambo jema serikali itumie Kodi zetu wavuja jasho na mashabiki wahuni waje waharibu miundo mbinu hii
Naomba serikali iwatake Simba kukarabati na kununua viti walivyong'oa na wazuiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wahamie Bunju majarubani
Sisi walipa Kodi hatupo tayari kulipa Kodi zitengeneze miundo mbinu na Mashabiki wa Simba waje kuvunja viti
Kuanzia wachezaji wao, mpaka mashabiki ukiwaangalia tu utajua...View attachment 3177518
SawaNdo ujiulize labda ndo maana Rage aliwaita mbumbumbu
Mashindano ya CAFCLTofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina mama
Tunasema msimu huuMashindano ya CAFCL
Na timu yetu bora tulimaliza top kwenye kundi
Na bado mechi moja mkononi
Tuna takribani robo fainali nne kwenye haya mashindano yote
Yote nahisi tulienda na makocha tofauti
Mmebadilisha kocha timu haina inachofanya uwanjani mnateatea tu
Na kwa Takwimu za wasemaji wenu wanasema hii ndo Yanga bora kuliko zote ki squad depth
Wewe ulifika final ya CAFCC ukiwa umecheza na timu iliyoshuka daraja semi final
Very weak Teams makundi
Usijifananishe na sisi mkuu
Tulia
Ulikuwepo uwanjani au uliangalia kwenye TV? Mimi nilikuwepo, usilete ushabiki wa kijinga mkuuMashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien
Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha
Mashabiki hao wameng'oa mamia ya viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja
Tukumbuke serikali ipo katika ukaribati wa uwanja wa Taifa Kwa ajili ya maandaliz ya CHAN na CAF
Ukarabati huu unatumia Kodi za Watanzania wote, sio jambo jema serikali itumie Kodi zetu wavuja jasho na mashabiki wahuni waje waharibu miundo mbinu hii
Naomba serikali iwatake Simba kukarabati na kununua viti walivyong'oa na wazuiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wahamie Bunju majarubani
Sisi walipa Kodi hatupo tayari kulipa Kodi zitengeneze miundo mbinu na Mashabiki wa Simba waje kuvunja viti
Ukiongelea msimu huu unazidi kujiabishaTunasema msimu huu
Wewe unasema mlifika
Kama mlifika nani kawapeleka UMISETA
Rafiki una mwanndiko mzuri lakini ujumbe wako umejaa ushabiki hasi kinyume na timu ya Simba na si uhalisia.Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien