Mashabiki wa Simba wang'oa viti uwanja wa Taifa baada ya mechi ya SC sFaxien

video inaonesha washabiki wa nyau wanang'oa viti na kuwatupia waarabu bado mtu anakwambia wale ni wa yanga walivaa jezi za simba

yanga anafahamika kwa ustaarabu wake hata umfunge anawapongeza wachezaji wake

wenye hii tabia ni nyau
 
Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien

Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha

Mashabiki hao wameng'oa mamia ya viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja
Tukumbuke serikali ipo katika ukaribati wa uwanja wa Taifa Kwa ajili ya maandaliz ya CHAN na CAF

Ukarabati huu unatumia Kodi za Watanzania wote, sio jambo jema serikali itumie Kodi zetu wavuja jasho na mashabiki wahuni waje waharibu miundo mbinu hii

Naomba serikali iwatake Simba kukarabati na kununua viti walivyong'oa na wazuiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wahamie Bunju majarubani

Sisi walipa Kodi hatupo tayari kulipa Kodi zitengeneze miundo mbinu na Mashabiki wa Simba waje kuvunja viti
Ni muhuni pekee ndiye anayeweza kuwa shabiki wa Simba na Yanga kindakindaki (a diehard fan)
 
Kuanzia wachezaji wao, mpaka mashabiki ukiwaangalia tu utajua...
Screenshot_20241215_190546_WhatsApp.jpg
 
Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien

Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha

Mashabiki hao wameng'oa mamia ya viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja
Tukumbuke serikali ipo katika ukaribati wa uwanja wa Taifa Kwa ajili ya maandaliz ya CHAN na CAF

Ukarabati huu unatumia Kodi za Watanzania wote, sio jambo jema serikali itumie Kodi zetu wavuja jasho na mashabiki wahuni waje waharibu miundo mbinu hii

Naomba serikali iwatake Simba kukarabati na kununua viti walivyong'oa na wazuiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wahamie Bunju majarubani

Sisi walipa Kodi hatupo tayari kulipa Kodi zitengeneze miundo mbinu na Mashabiki wa Simba waje kuvunja viti
Unakaaa zwa au
 
Km ww team yako ili sare kwa mbinde uzi wako hatuutaki na costantine ka sare uko 🦁 karudi nafasi yake kwny msimamo wa kundi
 
Tofautisha CAFCL na Yale mashindano yenu ya akina mama
Mashindano ya CAFCL
Na timu yetu bora tulimaliza top kwenye kundi
Na bado mechi moja mkononi

Tuna takribani robo fainali nne kwenye haya mashindano yote
Yote nahisi tulienda na makocha tofauti
Mmebadilisha kocha timu haina inachofanya uwanjani mnateatea tu

Na kwa Takwimu za wasemaji wenu wanasema hii ndo Yanga bora kuliko zote ki squad depth
Wewe ulifika final ya CAFCC ukiwa umecheza na timu iliyoshuka daraja semi final
Very weak Teams makundi
Usijifananishe na sisi mkuu
Tulia
 
Tunasema msimu huu
Wewe unasema mlifika
Kama mlifika nani kawapeleka UMISETA
 
Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien

Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha

Mashabiki hao wameng'oa mamia ya viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja
Tukumbuke serikali ipo katika ukaribati wa uwanja wa Taifa Kwa ajili ya maandaliz ya CHAN na CAF

Ukarabati huu unatumia Kodi za Watanzania wote, sio jambo jema serikali itumie Kodi zetu wavuja jasho na mashabiki wahuni waje waharibu miundo mbinu hii

Naomba serikali iwatake Simba kukarabati na kununua viti walivyong'oa na wazuiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wahamie Bunju majarubani

Sisi walipa Kodi hatupo tayari kulipa Kodi zitengeneze miundo mbinu na Mashabiki wa Simba waje kuvunja viti
Ulikuwepo uwanjani au uliangalia kwenye TV? Mimi nilikuwepo, usilete ushabiki wa kijinga mkuu
 
Tunasema msimu huu
Wewe unasema mlifika
Kama mlifika nani kawapeleka UMISETA
Ukiongelea msimu huu unazidi kujiabisha
Angalia nafasi ulioko mpaka sasa baada ya michezo mitatu
Umeshindwa kumaintain consistency
Upo upo tu
 
Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien

Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha

Mashabiki hao wameng'oa mamia ya viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja
Tukumbuke serikali ipo katika ukaribati wa uwanja wa Taifa Kwa ajili ya maandaliz ya CHAN na CAF

Ukarabati huu unatumia Kodi za Watanzania wote, sio jambo jema serikali itumie Kodi zetu wavuja jasho na mashabiki wahuni waje waharibu miundo mbinu hii

Naomba serikali iwatake Simba kukarabati na kununua viti walivyong'oa na wazuiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wahamie Bunju majarubani

Sisi walipa Kodi hatupo tayari kulipa Kodi zitengeneze miundo mbinu na Mashabiki wa Simba waje kuvunja viti
Rafiki una mwanndiko mzuri lakini ujumbe wako umejaa ushabiki hasi kinyume na timu ya Simba na si uhalisia.
 
Ukiongelea msimu huu unazidi kujiabisha
Angalia nafasi ulioko mpaka sasa baada ya michezo mitatu
Umeshindwa kumaintain consistency
Upo upo tu
Sikujibu tena huna akili
Kwenye kundi Kuna timu imefuzu?
 
Rafiki una mwanndiko mzuri lakini ujumbe wako umejaa ushabiki hasi kinyume na timu ya Simba na si uhalisia.
Si uhalisia kuwa mashabiki wa Simba hawakung'oa na kurusha viti?
 
Back
Top Bottom