Mashabiki wa Simba wang'oa viti uwanja wa Taifa baada ya mechi ya SC sFaxien

Mashabiki wa Simba wang'oa viti uwanja wa Taifa baada ya mechi ya SC sFaxien

Makolo nawalaza na viatu
Hamuungane 100
Unajilaza mwenyewe na viatu mwanaume umekua mwajuma ndala ndefu..kila uchwao kudanga kwa jirani..huko kwako hapakutoshi?? Hahaha
Mechi 3 point 1
 
Unajilaza mwenyewe na viatu mwanaume umekua mwajuma ndala ndefu..kila uchwao kudanga kwa jirani..huko kwako hapakutoshi?? Hahaha
Mechi 3 point 1
Achana na Yanga, ongelea timu lako
 
Mashabiki wa Simba wamefanya uharibifu mkubwa kwenye uwanja wa Taifa, baada ya mchezo kati ya Simba vs sc sFaxien

Hii imeleta picha mbaya mbele ya uso wa Kimataifa hasa Kwa watu waliostaarabika, kung'oa Viti na kurushia wageni raia wa Tunisia waliokuwa hawana siraha

Mashabiki hao wameng'oa mamia ya viti na kuharibu miundo mbinu ya uwanja
Tukumbuke serikali ipo katika ukaribati wa uwanja wa Taifa Kwa ajili ya maandaliz ya CHAN na CAF

Ukarabati huu unatumia Kodi za Watanzania wote, sio jambo jema serikali itumie Kodi zetu wavuja jasho na mashabiki wahuni waje waharibu miundo mbinu hii

Naomba serikali iwatake Simba kukarabati na kununua viti walivyong'oa na wazuiwe kutumia uwanja wa Benjamin Mkapa wahamie Bunju majarubani

Sisi walipa Kodi hatupo tayari kulipa Kodi zitengeneze miundo mbinu na Mashabiki wa Simba waje kuvunja viti
Sawa tunashukuru kwa kuanzisha uzi
Report yako peleka tiefuefu
 
Walimwe faini na wafungiwe kucheza baadhi ya mechi, huwezi kuwafanyia wageni hivyo, je! Na wao wakifanyiwa huko tunisia watapenda!! Halafu waanze kulialia mara oh waarabu wabaguzi. Time will tell
 
Anayeshangaa Simba kung'oa viti ilhali wameshinda hajui akili za Simba.

Ndo maana Rage aliwaita Simba mbumbumbu. Tena aliwaita hivyo akiwa Mwenyekiti wao, na aliwaita hivyo kwenye mkutano mkuu wa Simba (yaani mkutano mkubwa kuliko yote). Kwa hiyo maneno ya Rage kuwaita Simba mbumbumbu yamo kwenye hansadi za Simba.

Video hii hapa:

View: https://youtu.be/zCCoWFJGScU
 
Matako wewe,
kila siku nakumbia punguza mihemko Acha chuki,Ona sasa umehamia kwenye uharibifu baada ya kudeal na team yako mbovu.
Kodi mnalipa wewe na familia yako pekee?
 
Kwa hiyo tuamini taarifa hii ya kwako au ya Jeshi la Polisi waliyotoa kuhusu hili?
 
Anayeshangaa Simba kung'oa viti ilhali wameshinda hajui akili za Simba.

Ndo maana Rage aliwaita Simba mbumbumbu. Tena aliwaita hivyo akiwa Mwenyekiti wao, na aliwaita hivyo kwenye mkutano mkuu wa Simba (yaani mkutano mkubwa kuliko yote). Kwa hiyo maneno ya Rage kuwaita Simba mbumbumbu yamo kwenye hansadi za Simba.

Video hii hapa:

View: https://youtu.be/zCCoWFJGScU

Kwani Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?
 
Back
Top Bottom