Vontec
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 245
- 386
Wale mashabiki wa makolo walio mshambulia sana tena sana Shaffii Dauda Jana kwa andiko lake kuhusu hali ndani ya Simba kutokua sawa, na ata akadhibitisha kwa kuambatanisha na video ya Dejan akitaka kuzichapa na Okrah lakini bado wakawa wanabisha na kukataa katakata.
Na akatoa angalizo la kwamba matokeo ya mpira wa miguu yanapatikana na mambo mengi ikiwemo ushirikiano na upendo na kusema tulichokiona jana kupitia zile videos si shwari kabisa na je vipi kuhusu vinavyotokea huko ambapo hatupaoni (dressing room, kambini na mazoezini).
Na akasema Time will tell, Mashabiki wengi walimjia juu na kumshambulia kwa maneno makali na kumkashifu lakini yapo wapi leo!!? maneno yameanza kudhibitika Dejan kavunja sijui kavunjiwa mkataba huko.