Mashabiki wa Simba waumbuka... kauli ya Shaffi yaanza kuthibitisha.

Mashabiki wa Simba waumbuka... kauli ya Shaffi yaanza kuthibitisha.

Mbona kawaida tuu kama familia ina migogoro sembuse taasisi kubwa kama Simba?? Au ndo njia ya kujitafutia ugali kwa kuandika mabaya ya sehemu fulani. Kila sehemu kuna mambo yanaendelea na maisha pia yanaendelea
 
Utopolo mnhangaika sana na badoo mafanikio ya Simba yanawalaza macho wazi
 
Kuondoka mchezaji ni kawaida je alivyoondoka Kabwili inamaana yanga kulikuwa na shida?
 
Makolo waendelee kuvurugana sisi utopolo ndio raha yetu ili
Oktoba 23 tuwapige tena😆
 
Back
Top Bottom