Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwerevu huona alipokosea akarekebisha mpumbavu huenda mbele akapata aibu na anguko.Kambole mlimsajili wa nini kwa mbwembwe zile?
Huyu alishamaliza kifungo chake cha kutojishughulisha na masuala ya sokaMimi niliwaambia kuwa kuna vitu havipo sawa ndani ya Simba, ni juzi tu nilitoka kuwaambia hapa hapa mkaona nawakebehi, mkahisi siwatakii mema na kuamini nina agenda binafsi.
Jamaa wanaongozwa na Kauli Mbiu Yao ya Kuafikiana Pande Zote Mbili [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Makolo fc na kauli ya kuafikiana pande mbili
Junior Lokosa kaondoka bila hata kuchezaMataahira yanashangaa dejan kuondoka!!!hayashangai kambole kuondoka bila hata kucheza mechi achilia mbali kufunga hata goli moja
Duh!Kama mnakumbuka Kuna Wakati Ilivuja sauti ikipangwa mikakati Hapo Kwa Bab kwamba Chama na Miquison wasiwe wnampa Kagere Pasi asifunge Magoli ili asimpite Jonii.
.
Baadae ikaja kugundulika kwamba Kumbe diputi Hedi Kochi Wa Mda mrefu ndio msuka mipango yote ya kumbagua Kagere.
Hicho ni kitu cha kawaida san voz hata Al ahly avoondoka Pitson baadhi ya wachezaji hawakuhitajika!Acha kukurupuka..Ahmed alijibu vizuri tu kwamba wamegombana wachezaji wawili na huyo mmoja ndiyo huyo mtoto wa Mama ameshindwa kuhimili pressure ameondoka..hili halikuwa na mficho kwani tulijua tu baada ya kuondoka mjomba yake nae angeondoka.
Kumbuka tu Simba ni taasisi na itaendelea kuwepo.
Zinavunjika ndoa bila kuulizana mlifunga ndoa ya nn ushangae mkataba wa mchezaji wa mpira kuvunjwa? Tz tumevunja mkataba wa ujenzi bandari ya bagamoyo mara 2, mikataba ya madini imevunjwa mpaka huko Trab na Trat haipo unaona ajabu kwa mkataba wa mchezaji wa mchezaji wa mpira?Kama kawaida makolo badala mtafakari hali mnakimbilia kutetea! Hii kasumba huwa inatukosti sana Watanzania. Hebu kabla hujatetea jiulize kama unajenga au unabomoa.
WEWE UNAONA NI KAWAIDA MCHEZAJI KUONDOLEWA KATIKATI YA MKATABA? Si mlimsajili kwa mbwembwe nyingi huyu unasemaje sasa mchezaji kuondolewa ni kawaida, na kama ni kawaida mlimsajili wa nini?
tusijifarijiAcha kukurupuka..Ahmed alijibu vizuri tu kwamba wamegombana wachezaji wawili na huyo mmoja ndiyo huyo mtoto wa Mama ameshindwa kuhimili pressure ameondoka..hili halikuwa na mficho kwani tulijua tu baada ya kuondoka mjomba yake nae angeondoka.
Kumbuka tu Simba ni taasisi na itaendelea kuwepo.
Sawa dada. What next?Wale mashabiki wa makolo walio mshambulia sana tena sana Shaffii Dauda Jana kwa andiko lake kuhusu hali ndani ya Simba kutokua sawa, na ata akadhibitisha kwa kuambatanisha na video ya Dejan akitaka kuzichapa na Okrah lakini bado wakawa wanabisha na kukataa katakata.
Na akatoa angalizo la kwamba matokeo ya mpira wa miguu yanapatikana na mambo mengi ikiwemo ushirikiano na upendo na kusema tulichokiona jana kupitia zile videos si shwari kabisa na je vipi kuhusu vinavyotokea huko ambapo hatupaoni (dressing room, kambini na mazoezini).
Na akasema Time will tell, Mashabiki wengi walimjia juu na kumshambulia kwa maneno makali na kumkashifu lakini yapo wapi leo!!? maneno yameanza kudhibitika Dejan kavunja sijui kavunjiwa mkataba huko.
Hoja hujibiwa kwa hoja,Sawa dada. What next?