Mashabiki wa Simba waumbuka... kauli ya Shaffi yaanza kuthibitisha.

Makolo fc na kauli ya kuafikiana pande mbili
 

Attachments

  • FdrzLydXkBwqlFA.jpeg
    23.1 KB · Views: 3
Mimi niliwaambia kuwa kuna vitu havipo sawa ndani ya Simba, ni juzi tu nilitoka kuwaambia hapa hapa mkaona nawakebehi, mkahisi siwatakii mema na kuamini nina agenda binafsi.
Huyu alishamaliza kifungo chake cha kutojishughulisha na masuala ya soka
 
All in all, siku za kuishi mzungu pale mbumbumbu fc zilianza kuhesabika tangu siku ile Kocha wake aliye mleta alipotimkia kwa Waarab.
 
Mataahira yanashangaa dejan kuondoka!!!hayashangai kambole kuondoka bila hata kucheza mechi achilia mbali kufunga hata goli moja
 
Kama mnakumbuka Kuna Wakati Ilivuja sauti ikipangwa mikakati Hapo Kwa Bab kwamba Chama na Miquison wasiwe wnampa Kagere Pasi asifunge Magoli ili asimpite Jonii.
.
Baadae ikaja kugundulika kwamba Kumbe diputi Hedi Kochi Wa Mda mrefu ndio msuka mipango yote ya kumbagua Kagere.
 
Duh!
 
Hicho ni kitu cha kawaida san voz hata Al ahly avoondoka Pitson baadhi ya wachezaji hawakuhitajika!
 
Zinavunjika ndoa bila kuulizana mlifunga ndoa ya nn ushangae mkataba wa mchezaji wa mpira kuvunjwa? Tz tumevunja mkataba wa ujenzi bandari ya bagamoyo mara 2, mikataba ya madini imevunjwa mpaka huko Trab na Trat haipo unaona ajabu kwa mkataba wa mchezaji wa mchezaji wa mpira?
 
Nachungulia mara kwa mara kwenye official pages za Simba SC kuona Official Statement Yao juu ya kuvunjwa kwa mkataba wa Mchezaji wao Dejan, lakini hola!

Kunani !?
 
tusijifariji
 
Sawa dada. What next?
 
Sawa dada. What next?
Hoja hujibiwa kwa hoja,

Mashabiki wa makolo bhana, yaani watu wanajaribu kuwaweka wazi wapi panapo vuja mpate kuziba nyie kazi kutukana tu.

Watu wanajaribu kuonyesha wapi uongozi wenu unakosea mpate kupaza sauti, nyie kazi kutetea makorokocho yenu kuficha udhaifu.

Club mpaka Sasa haijatoa official statement na fika ikijua Taharuki ilitokea mchana wa leo, wapo kimya tuh

Very Unprofessional management, siasa hazitowafikisha kokote makolo.
 
🥲 Doh! Pasi wamnyime, kumpasua watake kumpasua na Bado wanataka kumchukulia hatua!! 🥲🥲🥲
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…