Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kumbe walikua wanataka mzungu aletwe ili wampige.Mletee mdhunguuu
Makolo ni wabaguzi wa rangiKumbe walikua wanataka mzungu aletwe ili wampige.
Ndio sio milele, ila sio kwa miezi mitatu jombaaKwahio mlidhani Dejan angeishi milele??
Kwahyo ndo aishi miezi mitatu tuKwahio mlidhani Dejan angeishi milele??
Miezi mitatu tu mchezaji kuondoka sio kawaidaKuondoka mchezaji ni kawaida je alivyoondoka Kabwili inamaana yanga kulikuwa na shida?
Mafanikio yapi hayo?Utopolo mnhangaika sana na badoo mafanikio ya Simba yanawalaza macho wazi