Mashabiki wa Simba wenye akili hizi ‘ mbovu ‘ kama za Mashabiki wa Yanga ‘ watupishe ‘ haraka

Yanga anamuomba nani hivi kiongozi kumuambia mwanachama au mpenzi wa timu kuchangia ndio kuomba basi hii kali ata katika nyumba za ibada nao masheikh na wachungaji niombaomba maana wanawaambia waumini wachangie.

Ni lini mwana Yanga amewahi kuwa na ' Akili ' Mkuu? Mngekuwa na ' Akili ' Klabu yenu ingeendelea kuwa pale ' Bwawani ' huku mkiwapa ' Hifadhi ' ya Kudumu Vyura na Mbu wa Dengue?
 
Kumbuka marehemu Mambosasa aliiba godoro guest.

Anayeiba Nyumbani Kwao na Yule anayeiba Ugenini na akaiabisha Timu, Ubalozi na nchi ya Tanzania nani ni ' Popoma Mwandamizi ' Kwako? Nasubiri Jibu langu tafadhali.
 
Kocha kafanya poa sana kuwapa nafasi wachezaji wake kuandika historia na kujifunza kutoka kwa walio bora zaidi.
Haikuwa fainal wala mtoano ni friend game dhidi ya timu kubwa ulaya.. Kwa wale walionuna juu ya matokeo wana mapungufu yao tu.
 
Gentmycine ni wa ovyo kabisa, hujui Yanga ilikuwa kituo cha kuhamasisha uhuru wa Tanganyika na Baadae Zanzibar??
Unaowadharau hawana akili ndo walitawala nchi hii.
Yanga jengolilijengwa na marehemu Karume , umeelewa??
Yanga ni club ya wananchi hutaki, kajinyonge basi!!
 

Mkuu tatizo sio la mashabiki wa simba wenye akili mbovu mbovu 'kama ulivyowaita wewe mwenyewe' ila tatizo limetengenezwa na yule mropokaji wenu aliyewaaminisha kuwa timu yeyote ya nje ikicheza na simba uwanja wa taifa hawachomoki! Mentality hii isingekuwepo ungeona kila mtu anayachukulia matokeo ya jana kama ushujaa! Lakini pia kitu kingine ambacho kinatufanya sisi mashabiki wa MABINGWA WA KIHISTORIA kuwaona nyie simba watu kama wa hovyo hovyo ni kuwa mpira hamuuwezi ila mnapiga kelele sana! Sisi yanga ni wastaarabu sna

Nikirudi kitaalamu nashukuru mkuu kuwa uliona jana magoli mliyofungwa yalikuwa mepesi mepesi snaaa na ya kijinga jinga sana na ya akili ndogo sana (Nawasiwasi wangetumia akili wale wangewafunga 12), tofauti na magoli yenu ambayo nguvu kubwa sna ilitumika. Ur right jana kama zingeongezwa dk 15 tu, nakwambia 7 au 12 zingefika. Lakin niwapongeze kwa kucheza na SEVILLA! Ila hizi TANO TANO mnatutia aibu sana taifa.

Mazembe 5 - 0 simba
Al aHLY 5 - 0 Simba
Simba 0 - 5 Sevilla

Saint Ivuga
 
Ni lini mwana Yanga amewahi kuwa na ' Akili ' Mkuu? Mngekuwa na ' Akili ' Klabu yenu ingeendelea kuwa pale ' Bwawani ' huku mkiwapa ' Hifadhi ' ya Kudumu Vyura na Mbu wa Dengue?
ndio akili yako ilipoishia hapo kwaheri
 

Umeanza vyema katika Maelezo yako ila huku mwishoni umeonyesha ni jinsi gani aina ya Bange / Bangi ambazo unazitumia ' zinakuathiri ' mno Mkuu na karibia zitakufanya nawe uwe ' Popoma / Mpumbavu Mwandamizi ' kama Omba Omba Bakuli FC Wenzio waliojaza katika Jamvi hili.
 

Ni lini mwana Yanga amewahi kuwa na ' Akili Timamu ' Mkuu?
 
Tatizo kichwa chako ni container ya matus
 
Mkuu hiyo supu ya chura ulokunywa bado inakufanya uharushe uongo?

Simba 4-Sevilla 5. Tupe heshima yetu wanaume bana!
 
Mkuu hiyo supu ya chura ulokunywa bado inakufanya uharushe uongo?

Simba 4-Sevilla 5. Tupe heshima yetu wanaume bana!
daaa yaani mmetufanya mpaka tushazoea mkifungwa tano tunaassume ni tano bila! pole mkuu haya ngoja nirekebishe

simba 4 - 5 sevilla
 
Gentamycine usihangaike sana kwani kuna watu humu wameanza kupenda ushabiki wa mpira juzi juzi tu tena baada ya TV kuanza kuwa nyingi. Binafsi namsifu kocha Ausems kwa kuwapa wachezaji wote nafasi waandike historia katika maisha yao. Na sio katika mechi ya Sevilla tu hata katika ligi na hakuna mchezaji ambaye atalalamika kuachwa kwani kila mmoja alipewa nafasi kuonyesha uwezo wake na wengine wameshindwa wenyewe.

Katika pre season timu za wenzetu huwa wanajifunza mbinu mbali mbali na mfumo watakaotumia kutokana na aina ya wachezaji waliowaongenza kwa hiyo hawaaangalii sana matokeo. Kwa shabiki aliyeamini kabisa kuwa Simba itamfunga Sevilla akifungulia pump zote nadhani haufahamu mpira vizuri. Na Ausems analijua hilo ndio sababu kubwa ya kuwapa vijana wake wote nafasi waonyeshe uwezo wao na kuandika historia iliyotukuka katika maisha yao. Hiyo Sevilla ukiikuta imefungulia pump zote kwenye La Liga Barca na Madrid huwa saa nyingine wanakubali kipigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…