Uwezo wako wa ' Kujibizana ' na ' Kubishana ' na Mimi kuhusu mambo ya Mpira wa Miguu ni mdogo sana hivyo usinipotezee muda. Mtafute Mwenyekiti wako mpya wa Yanga Dkt. Mshindo Msolla ' akujumuishe ' katika ile Timu yake ya Kamati ya Kutembeza Bakuli ili kuweza Kuisaida Omba Omba FC a.k.a Yanga FC sawa?
Hadhi ya mwana Simba yoyote kwa sasa hivi siyo ' Kujibizana ' na Watu ' Wapumbavu / Mapopoma ' wa Yanga bali wana Simba sasa tunatakiwa Kuzungumza na Kujadiliana na Watu kutoka kama Gor Mahia, TP Mazembe, Mamelodi Sundowns, Zesco United, Al Ahly, Zamalek, Enyimba FC, Club Esperance, Etoile Du Sahel, Everton FC, Sevilla FC na Klabu nyinginezo nyingi za huko Ulaya.
Kubishana na Klabu ambayo Makao Makuu yake pia huwa ni Hifadhi ya Vyura wengi na Njia Kuu ya Mafuriko ya Jijini Dar es Salaam hasa wakati wa Mvua kama hiki ni kutaka nawe pia Kuonekana kuwa ni ' Mpumbavu / Popoma ' kama Wao. Huu muda mwingi mnaoutumia ' Kuinanga ' Simba baada ya matokeo ya Jana hivi mngeutumia katika ' Kujinasua ' katika Shida, Taabu na Dhiki zilizowakomaa msingekuwa mbali angalau na nyie kuweza Kuyafukuzia Mafanikio ya haraka na yenye Tija ya Simba?